MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,824
- 4,385
Sasa hivi kuna kipindi kinaendelea ITV kuna bibi mmoja anaitwa Kija yupo na maofisa elimu kadhaa WANASEMA ELIMU BURE NA ELIMU BILA MALIPO NI VITU VIWILI TOFAUTI, eti wazazi hawakuuelewa waraka
Urio anaongea point. Kunduchi mlipata DiwaniHuyo bwashee Urio ni diwani wangu
Kweli mkuuKama vipi warasimishe hiyo michango na warudishe jumla tulipe tu waziwazi siasa ya nini hapo.
Kwanza ikiitwa bure inashuka thamani, tuulikuwa tunaweza hata kusema 'soma kwa bidii ada yako isiende bure'.
Urio yule shahidi wa kesi ya Mbowe ama?Huyo bwashee Urio ni diwani wangu