CHADEMA sasa wawe Watu wa kupenda amani na kutotenda uhalifu, vinginevyo watamlaumu sana Kingai bila sababu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Nikiuangalia utatu wa DCI, DPP na Jaji Kiongozi ni dhahiri nyakati za kutenda uhalifu wa namna yoyote kwa sababu zozote zimefika ukomo.

Natoa tu tahadhari kwa BAVICHA waache mihemko na Lugha za kuudhi/matusi pia watii sheria bila shuruti.

Namshukuru sana Mwenyekiti Mbowe kwa kuwaonya BAVICHA mapema.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Amewekwa atumike akimaliza ku serve their interests watamtoa.

Nakereka na kaulu eti RAISI AMEONESHA IMANI KWAKO" raisi anapelekewa majina na sababu wenye imani juu ya walio teuliwa ni wengine kabisa
 
Katiba mpya italinda Haki za vyama vyote vya siasa nchini bila kujali kipi kimeshika hatamu !na vyote vitafanya siasa zao bila kuingiliwa na Taasisi za serikali wala Rais aliepo madarakani hatoweza kuviweka mfukoni na kuviua KWA KUTUMIA dola kama ilivyo sasa!

Pia wanachama wote watalindwa na Katiba bila shuruti kutoka chama dola kama wafungwavyo na kuuawa Sasa KWA mateso vya chama Dola!!

Ndio maana tunakushauri uimbe pamoja nasi wimbo huu:-

""Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
 
Naunga mkono hoja
P
Nawe!!!? Wakili mgeni P, wawezaje kutishwa kirahisi hivi? Hao wapinzani nao ni watanzania na Wana haki zao za kikatiba. Siyo wahalifu Bali ni watu wema wenye itikadi tofauti na Yako.
Nikukumbushe TU wakili mpya, hao wateule ni makada wenzako wa ccm na Kwa hakika hawawezi kutenda jambo nje ya WiGo wa kuifurahisha ccm lakini wataaibishwa peupe MAHAKAMANI Kwa mara nyingine na najua wewe utakuwa upande wao siku ya kuaibishwa ikifika!
 
Nikiuangalia utatu wa DCI, DPP na Jaji Kiongozi ni dhahiri nyakati za kutenda uhalifu wa namna yoyote kwa sababu zozote zimefika ukomo.

Natoa tu tahadhari kwa BAVICHA waache mihemko na Lugha za kuudhi/matusi pia watii sheria bila shuruti.

Namshukuru sana Mwenyekiti Mbowe kwa kuwaonya BAVICHA mapema.

Mungu ni mwema wakati wote.
Kuvaa t shirt ilyoandikwa 'katiba mpya' ilikuwa kosa kwa Kingai sasa hivi mpaka rais anaongelea katiba mpya hii yaonyesha ni mtu asiye na vision halafu anapewa wadhifa mkubwa,sad.
 
Back
Top Bottom