Kwa nilichokiona leo, Watumishi wa Umma wategemee nyongeza ndogo chini ya 10% na sio 23 kama wanavyotarajia

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na kila mtu.

1. Mwaka jana alihaidi mwaka huu kutangaza nyongeza ya mshahara mei 1. Kilichofanyika akataka kuzungusha maneno. Mwinyi Zanzibar akasema, Uhuru akasema, Morocco wakasema. Ni kama wakamuongoza na wetu aseme. Ili baadae ije kuwa uongo wamseme na wamchukie sana.

2. Wakati tukifikiria katika haki. Suluhu za kisiasa. Wale waliodidimiza democracy wanapewa vyeo vya juu. Lengo ni kuwafanya wapinzani wakate tamaa na mijadala ife.

Kwa picha ninayoiona walio nyuma yake wanataka achukiwe na kila mtu! Humpa ushauri ili asionekane kuwa bora au nafuu kuliko Mwendazake na kwa kutimiza azma yao wametumia muda wa kutosha kumfanya achinje watumishi maslahi yao ili wajenge chuki na kutomuamini!! Na njia nzuri kutotimiza ahadi na kuja ujanja ujanja.

Natamani raisi awe na mtazamo chanya wa kujenga uadilifu kwa kukataa kuongozwa bali kupokea ushauri kipindi akihitaji kufanya hivyo.
 
Huo ndo ukweli wenyewe na iko hv kwa wale Maafisa utumishi ambao wana access na mfumo wa mshahara mkeka walishauona ongezeko ni Tshs 20000 flat rate
 
Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu umongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na kila mtu.

1. Mwaka jana alihaidi mwaka huu kutangaza nyongeza ya mshahara mei 1. Kilichofanyika akataka kuzungusha maneno. Mwinyi Zanzibar akasema, Uhuru akasema, Moroko wakasema. Ni kama wakamuongoza na wetu aseme. Ili baadae ije kuwa uongo wamseme na wamchukie sana.

2. Wakati tukifikiria katika haki. Suluhu za kisiasa. Wale waliodidimiza democracy wanapewa vyeo vya juu. Lengo ni kuwafanya wapinzani wakate tamaa na mijadala ife.

Kwa picha ninayoiona walio nyuma yake wanataka achukiwe na kila mtu!!!! Humpa ushauri ili asionekane kuwa bora au nafuu kuliko Mwendazake na kwa kutimiza azma yao wametumia muda wa kutosha kumfanya achinje watumishi maslahi yao ili wajenge chuki na kutomuamini!! Na njia nzuri kutotimiza ahadi na kuja ujanja ujanja.

Natama raisi awe na mtazamo chanya wa kujenga uadilifu kwa kukataa kuongozwa bali kupokea ushauri kipindi akihitaji kufanya hivyo.
Jeshi la Polisi ndiyo kichaka cha Sukuma Gang ambao wameapa kuhakikisha hadi kufika 2025 Hangaya hatamaniki,na kwa uteuzi wa DCI huyu lengo hilo litafikiwa kwa asilimia tisini na tano
 
Yapo ambayo Mama anaongozwa kweli kabisa, ila sio hili la nyongeza ya mshahara.

Nyongeza ya mshahara haijawahi kuwa zaidi ya elfu 50+, hata enzi ya JK.
Shida ni kwamba mtangulizi wa huyu Rais wa sasa hakuwa akiongeza kila mwaka. Sasa watu walifikiri wakisema nyongeza itakuwa laki 1, 2, 3. Si kweli.

Kwa Uchumi wetu ulivyo ktk nchi, kiwango anachoweza kuongeza, net kabisa kwenye akaunti za benki ikasoma ni hizo hela kuanzia shilingi elfu 7 (7,000/- Tsh) hadi kufikia elfu 30 huko.

Kuhusu nyongeza ya 23% aliyotamka wkt wa Mei mosi, ile ni kweli na kasomeni tena ile barua, inasema, nanukuu kwa ufupi....., "Rais ameridhia nyongeza ya mshahara serikalini/kwa watumishi wa Umma, ikiwemo ongezeko la 23% kwa kima cha chini cha mshahara....."
Sasa waTz either ni wavivu wa kusoma katikati ya mstari "read between the lines" ,au hesabu inawachenga sana.

Haya maneno yana maana,

.... ikiwemo ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa 23% ....

Sasa kima cha chini hadi JK anatoka ni sh 300,000/-. JPM hakuwahi kuongeza.
Sasa mh Samia kawaongeza sh 69,900/- hao wa laki 3 kushuka chini.
Barua haikutaja kuwa waliokuwa wanapokea mshahara wa zaidi ya laki 3, wameongezwa sh ngapi!!

Kwa hiyo acheni kupamba pamba, eti mama anapotoshwa sijui ooh wanataka achukiwe.

Katika hili la nyongeza ya mshahara huo ni uongo au maneno ya kuunga unga.

Huo ndio ufafanuzi sahihi.
 
Kama anavyopokea ushauri kutoka Kwa timu Msoga.

LAZIMA apokee ushauri Toka Kwa "watu" WANAENDELEA kumuishi JPM na Hawa ndio waendesha Mambo .

Mtu anaweza shangaa kwanini Sirro kapelekwa Zimbabwe hapo Jirani?!!

Kuhusu Nyongeza, Wafanyakazi wasililie Nyongeza zisizoondoa Umasikini, BADALA YAKE WAMKOMSLIE MAMA JUU YA HUU UPANDAJI HOLELA WA GHARAMA ZA MAISHA.
 
Magufuli mlisema alijiona ndio kila kitu akawa hataki ushauri. Huyu mnasema anashauriwa ndio maana anaharibu. Hebu wabongo mjikusanye kisha muamue moja mnakata rais afanyeje?

Ndio maana Magu aliamua kufanya kilicho bora kwa nchi bila kutaka kusikiliza sauti za nje. Na alipoona kuna sauti za uzushi alizizima mara moja. Kafanya yake kamaliza kasepa. Huo ndio uongozi wa kiafrika.
 
Kweli kabisa
 
Hata mimi naona hivyo. Kuna kundi lingine linaongoza nchi nje ya white house.
hakuna kundi wala mzimu unaomkwamisha Hangaya....hapo ndipo "ujazo" wa injini yake unapoishia na tena amejitahidi sana....Mzigo uliokuwa umebebwa na Fuso tuliuhamshia kwenye kirikuu tuvumilie tu na hapo ni jitihada za Msoga kupitia mlango wa nyuma!
 
Jeshi la Polisi ndiyo kichaka cha Sukuma Gang ambao wameapa kuhakikisha hadi kufika 2025 Hangaya hatamaniki,na kwa uteuzi wa DCI huyu lengo hilo litafikiwa kwa asilimia tisini na tano
Kama madudu ya kesi mchongo hayakutosha kumnyima ufaulu wa nafasi hiyo,basi taifa tumesha potea au tuseme hicho chombo kilishajifia na Bora waliosalia ndio hao hao🤔
 
Magufuli mlisema alijiona ndio kila kitu akawa hataki ushauri. Huyu mnasema anashauriwa ndio maana anaharibu. Hebu wabongo mjikusanye kisha muamue moja mnakata rais afanyeje?

Ndio maana Magu aliamua kufanya kilicho bora kwa nchi bila kutaka kusikiliza sauti za nje. Na alipoona kuna sauti za uzushi alizizima mara moja. Kafanya yake kamaliza kasepa. Huo ndio uongozi wa kiafrika.
Bora Kwa kuwa ulishiliki kuyatekeleza uliyona Bora Kwako kama zile kesi mchongo,tekateka na mengineyo sio🤔
 
Back
Top Bottom