Salaam Wakuu,
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.
Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.
Sasa...
Nawasalimu kwa jina la JMT na Kazi iendelee..
Kiukweli Tanzania yetu hii ya Kijamaa tumelala Sana usingizi..
Ni jambo la kushangaza kwamba licha ya Nchi yetu ku share mpaka mrefu wa Ziwa...
Uongozi si lelemama,hasa kwa yule anaetaka kupendwa
na kila mtu.
poleni,wamachinga,mama ntilie,wafanyakazi wa umma,mambo bado,rais anategemea baadhi ya washauri wahuni kutatua kelo za wananchi
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.
Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).
Ni vema...
Habari za majukumu wakuu wa kazi?
Leo nimeamua niwahusishe na mtazamo wangu juu ya "TANZANIA KUELEKEA 2025". Wote tunafahamu kuwa ili tuweze kuishi kwa mipango ni lazima tuweze kuumiza akili zetu...
Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi.
Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya...
Watu hawafikirii kwa mapana yake...Serikali inapoteza fedha nyingi sana kulipa mishahara, tena kwa baadhi ya watumishi ambao hawaingizi kipato chochote kwa serikali.
Watumishi wengi sana hawapo...
Mnadhani nini kitatokea kuanzia jumatatu hii katika Hospitali za serikali, Shule za umma na ofisi zote za serikali?
Wafanyakazi walitangaziwa ongezeko la mishahara 23% na Rais baada ya takribani...
NINGESHAURI PUNGUZO LA KODI ILI VITU VISHUKE BEI,KULIKO KUONGEZA MSHAHARA.
Leo 13:15hrs 15/05/2023
Je ni kweli gharama za maisha za leo hii ili mtumishi amudu maisha inabidi kima cha chini kiwe...
Ndugu Wanajukwaa
Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazo anza kutumika Tarehe 6 Julai 2022 saa 6:01 usiku.
Aidha, Katika...
Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa...
Kuna tetesi nyingi baada ya msiba wa baba, baba wadogo na marafiki wa baba waliweka vikao vya siri. Wakipinga katakata mama asiwe msimamizi wa mirathi. Wakisisitiza uwezo wake ni mdogo kuongoza...
Nakumbuka awamu ya tano lilikuwa likifanyika jambo lililogusa watu wengi mapadri, mashehe na maaskofu walijitokeza kulaani, leo wapo wapi?wamejificha wapi ingali bado tunawahitaji?
Leo kila kona...
Hii ndio taarifa mpya kwa leo , Kwamba sasa ni Rasmi CHADEMA imefungulia upya Makongamano ya kuelimisha wananchi Kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , leo ilikuwa Zamu ya...
Wazungu mitaala Yao yote Inafundisha elimu kuhusu critical thinking, problem solving na assertiveness. Elimu hii inawapatia wazungu wote uwezo wa kujihoji na kujiuliza wenyewe maswali kama why me...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Afrika Mashariki (Arusha Bypass) km 42.4 Ngaramtoni Arusha, leo Tarehe 22 Julai, 2022
=======
Hotuba ya Rais...
KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI.
Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya...