Waliopotosha Ongezeko la 23.3% ni Walimu, Wachukuliwe hatua

Taarifa ya Ikulu ilipotoshwa kwa makusudi na walimu na wakaitafsiri wanavyotaka wao. watu hawa wakatumia wingi wao kusambaza uongo.

Taarifa ilisema wazi kuwa ongezeko la 23.3% ni kwa walio kima cha chini. Wao sababu ya ufahamu mdogo wakaamua kusambaza taarifa za uongo kuwa hiyo ni kwa wote(flat rate).

Mijadala ilikuwepo humu na kwenye mitandao mingine kuwa waache kupotosha hii taarifa, Kama hawajaelewa waulize. Bado waliendelea na msimamo wao wa kupotosha.

Naiomba serikali ichukue hatua kwa wote waliopotosha taarifa hii na wengi wao hawa walimu wa mwendokasi.

#Kazi iendelee#
#SSH 2025#
Kwa hiyo kutoka siku ya Mei mosi ndo mnajua Leo kuwa walimu walipitishwa? Akili zenu zinafikili bado tuko Zama za mawe.
 
Taarifa ya Ikulu ilipotoshwa kwa makusudi na walimu na wakaitafsiri wanavyotaka wao. watu hawa wakatumia wingi wao kusambaza uongo.

Taarifa ilisema wazi kuwa ongezeko la 23.3% ni kwa walio kima cha chini. Wao sababu ya ufahamu mdogo wakaamua kusambaza taarifa za uongo kuwa hiyo ni kwa wote(flat rate).

Mijadala ilikuwepo humu na kwenye mitandao mingine kuwa waache kupotosha hii taarifa, Kama hawajaelewa waulize. Bado waliendelea na msimamo wao wa kupotosha.

Naiomba serikali ichukue hatua kwa wote waliopotosha taarifa hii na wengi wao hawa walimu wa mwendokasi.

#Kazi iendelee#
#SSH 2025#
Acha kuwa km mkundu ww
 
Walimu bana!

Hawastahili kupewa tens uongozi wa nchi yetu.

Mama Mungu aendelee kukubariki.
 
Walimu kwa wingi wao wakiamua kuleta mabadiliko nchi hii ni kundi kubwa sana, tatizo lao wanatumika hovyo na serikali ya CCM kwenye wizi wa kura halafu wanapewa mishahara midogo kama asante, hawa sijui ni "walimu" wa aina gani.
 
Soma ulichoandika
 
Back
Top Bottom