2025: Ujumbe kwa Chama Cha Mapinduzi

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,831
Habari za majukumu wakuu wa kazi?

Leo nimeamua niwahusishe na mtazamo wangu juu ya "TANZANIA KUELEKEA 2025". Wote tunafahamu kuwa ili tuweze kuishi kwa mipango ni lazima tuweze kuumiza akili zetu kuwaza mambo ya mbeleni .

Siko hapa kwasababu za kichama, kidini wala kushindanisha mtu ,bali ni mtizamo wangu nilipata baada ya Tafakuri nzito kuhusu uongozi wa nchi yetu .

Binafsi ningependa kumshauri mama samia Raisi wetu kuwa ,Astaafu kwa heshima na kupumzika 2025 ili amwachie kijiti mgombea mwingine mwenye sera, mtazamo, mbinu na ushawishi tofauti na yeye.

Kiufupi hana jipya sasa, na hawezi kuwa na jipya 2025-2030

Asante mama, ila Pumzika sasa ukalee wajukuu nyumbani.

______________________________

NANI ANAFAA KUMRITHI MAMA SAMIA?

mpaka sasa ,-majaliwa
- Makamba
-Mipango
-R.Kikwete
- Mwinyi

(excluding viongozi wa upinzani maana hakuna chama chenye ushawishi kuchukua Dola 2025 labda wajipange upya).
--------------------------------
KWANINI RAISI MWINYI ACHUKUA URAISI WA BARA 2025?.

-EMBU TUANGALIE AINA YA UONGOZI WAKE TANGU AWE MADARAKANI.;

Utawala wake umeingia madarakani na mbinu ya kusikiliza changamoto za wananchi na za sekta mbali mbali. Mikutano maalum ya ndani imekuwa ikiandaliwa kuwasikiliza wadau na wafanyakazi wa sekta hizo.

Ni utendaji unaofanana na wa marehemu Rais John Pombe Magufuli. Rais Mwinyi pia amewahi kufanya ziara za kushtukiza maeneo kadhaa, mfano katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja na Bandari kuu ya Malindi.

Rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya pesa za Umma, ubaguzi katika utoaji wa ajira ni kati ya machache yaliyotamalaki kwa awamu tofauti ndani ya SMZ. Angalau kwa sasa kuna nyota njema iliyofifisha mambo hayo.

Nyota hiyo ni mageuzi yaliyopo sasa, yakiwemo kufuta kazi watumishi kwa ubadhirifu, kusimamishwa kazi na kuundwa tume za kuchunguza taasisi mbali mbali. Mageuzi ambayo hayakuwepo huko nyuma.

Mwezi Aprili 2021, Rais Mwinyi alitengua uteuzi wa makamanda wakuu wa vikosi vitatu vya SMZ, Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM), Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) na Chuo cha Mafunzo.

Utumbuaji huo ulikuja punde alipopokea ripoti kutoka kamati ya uchunguzi iliyobaini uwepo wa wafanyakazi hewa, ubadhirifu na ufisadi katika idara hizo za SMZ. Katika taasisi nyingine panga la Mwinyi limepita pia na kuondoka na vichwa.

Juhudi za kupambana na ubaguzi katika utoaji wa ajira zimeonekana pia, mwezi Februari mwaka huu, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Chande Omar, aliondolewa katika wadhifa huo.

Ni kufuatia ripoti ya kamati ya uchunguzi. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita, alisema kamati hiyo kati ya mengi ilibaini kuajiriwa kwa wafanyakazi wasio na sifa katika shirika hilo.

Abdulfatah anagusia mageuzi katika uongozi wa Dkt. Mwinyi kwa kueleza, "mabadiliko katika baraza la mawaziri kwa asilimia kubwa ameliondoa baraza la zamani na kuacha yale mazoea ya kuteuwa watu hao hao tu. Hili linajenga matumaini ni kweli anataka mabadiliko."

NANUKUU "AMEACHA KUTEUA WATU WALEWALE KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI"

Huyu ndo raisi anayefaa kwasasa walau kuokoa jahazi hili la TANZANIA linaloeleka kuzama mazima na kufanya tuzidi kutumbukia kwenye dimbwi la umaskini.

mwinyi 2025 njoo uwazibie mirija hawa "WALAMBA ASALI"

uzi tiyari.
chanzo cha takwimu : BBC/ Swahili.

#nakala - kwa KATIBU WA UENEZI CCM
(Aione kwenye jalada)

Nawasilisha.
Screenshot_20220610-210938_Chrome.jpg
 
- makamba
-mipango
-R.kikwete
- mwinyi

nawasilisha.View attachment 2256795View attachment 2256796View attachment 2256797
umeshafanya mawasiliano na Mungu akakuhakikishia kuwa watafika 2025
 
View attachment 2256796
Alaaa kwamba SSH amewaambia 2025 hagombei sio?

Mnapoteza mda webu bure unless ni hesabu za 2030.

Mwinyi ameuza visiwa huko Zanzibar,sasa kwa sakata la Wamasai si atauza vyote wakiwamo Masai wenyewe? 😀😀
 
Attachments

  • Screenshot_20220517-202938.jpg
    Screenshot_20220517-202938.jpg
    49 KB · Views: 4
Back
Top Bottom