Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee...
9 Reactions
326 Replies
34K Views
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhruri Ya Muungano Wa Tanzania. CCM inatarajia kukutana Kwa Ajili ya Mkutano DEC 15 2021. Naomba ndugu Yangu Kijana Shaka Hamdu Shaka. Tumia Fursa hii kumbananisha Pole...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Magufuli amesema, ''Ninaomba wanaMtama chapeni kazi, najua kabla ya Nape Nnauye mlipata tabu sana, maendeleo yalipelekwa kwengine nilikuwa sijui kwa sababu gani,Nape nampenda sana ni...
10 Reactions
135 Replies
18K Views
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia)akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Ndugu Goodluck Ole Medeye mara baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Oldonyosambu...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Waziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kufika kwenye mradi wa kufua umeme kwa Njia ya Maji wa Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Shilingi 1.4 Trilioni...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Ufafanuzi wa kina uliotolewa na Waziri Mkuu leo hii umeondoa propaganda za watu wachache waliolenga kupotosha jamii. Kama mtumishi wa umma napenda kuwakumbusha Watanzania mambo mazuri...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila aliwahi kuulizwa na Ayo Tv siku chache zilizopita kuwa haoni anahatarisha nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kwa uamuzi wake wa kumnyang'anya soko la...
6 Reactions
42 Replies
7K Views
Waziri Makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati. Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika. Ukichunguza...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunamaliza mwaka 2021 kwa kishindo nimejaribu kutafakari uwajibikaji wa mawaziri katika wizara zao na nimekuja kutanabaisha pasipo na shaka kwamba Waziri wa maji Juma Aweso anaupiga mwingi sana...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
UTANGULIZI.BJandiko hili nalileta kwenu kwa jinsi ninavyojua na kushiriki katika zoezi la kupata nafasi hizi! Bandiko hili linajaribu kuweka mambo sawa ili wadau humu wajue pumba na mchele ni upi...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Mbunge wa jimbo la kisesa Mhe. Luhaga J. Mpina ameshauri iundwe tume teule ya Bunge ili kuchunguza kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara. Mhe. Mpina amehoji Tanesco iliwazaje kutoka kukusanya...
10 Reactions
85 Replies
6K Views
Bunge la Bajeti liko ukingoni kumalizika ni wabunge gani tunawapa nafasi kumi bora kwa kuwakilisha vema na kubeba hoja zenye maslahi mapana kwa taifa letu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo Waziri wa Kilimo ametamka hadharani kuurejesha Mfumo wa Ununuzi wa Mbolea BPS ambao ulifutwa Juni 2021 na kusababisha mfumko mkubwa wa bei za Mbolea nchini kwani wafanyabiashara waliuza mbolea...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Yule mbunge machachari mh Mpina ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kununua ndege aishauri sass ijikite kwenye ndege za mizigo. Source Star tv bungeni
0 Reactions
1 Replies
452 Views
Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hawataiomba Benki Kuu ya Tanzania bali watailazimisha kutengeneza mfumo utakaowezesha Benki ya Ushirika kupata upendeleo wa kurahisisha utoaji wa mikopo kwa...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Nauliza tu anayetakiwa na Wakili Kibatala akatoe ushahidi bungeni ni mh Job Ndugai au Spika wa Bunge la JMT? Kwa sababu Spika ni Cheo siyo.mtu. Sabato njema!
1 Reactions
15 Replies
1K Views
'MRADI WA UMEME WA RUSUMO HYDROPOWER PROJECT KUKAMILIKA MWEZI NOVEMBA 2022' - MAKAMBA Siku ya sita ya Ziara ya Waziri wa Nishati January Makamba kwenye Mikoa 14 na Wilaya 38 imemfikisha kwenye...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
7 Reactions
114 Replies
13K Views
Acha niorodheshe baadhi ya maovu yaliowahi kufanyika ama yanayofanyika hapa Tanzania na kushangiliwa au kunyamaziwa na jamii. 1. JPM alivunja katiba hadharani ktk Mambo mengi sana , watanzania...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…