Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waandishi Habari wa Tanzania uwezo wao unaishia kwenye kuwahoji viongozi wa level ya Ubunge kushuka Chini na si zaidi ya hapo Kumuhoji Nguli kama Aziz kunahitaji Utulivu mkubwa wa akili na tumbo...
24 Reactions
48 Replies
2K Views
Mara zote huwa sihangaiki na masuala ya CCM, lakini linapokuja jambo la kuparurana, kulogana na kuuana huwa nafurahia Pamoja na kushinda kinachoitwa kura za maoni huko Isman wazito wa CCM...
15 Reactions
50 Replies
1K Views
  • Redirect
Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama @fred_vunjabei...
1 Reactions
Replies
Views
Leo tarehe 29.04.2026 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ilifanya kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake, Dr. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Mariane Young amekutana na viongozi wa Chadema ikiwa ni Maandalizi ya kikao cha Kamati Kuu Viongozi waliokutana naye ni Katibu Mkuu John Mnyika na Makamu...
8 Reactions
15 Replies
353 Views
Baada ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani ya Oktoba 29, 2025 kukabidhi ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuchukua hatua za haraka kurejesha Imani ya wananchi kutokana na...
1 Reactions
11 Replies
305 Views
Kwa ukatiri n.a. unyama aliofanya Sabaya hapaswi kusamehewa na yeyote na Nina hakika wako wanaopanga kulipa kisasi (nawatakia kila la heri) Namheshimu Freeman na wote mnajua lakini namheshimu...
7 Reactions
46 Replies
746 Views
Hakika ushirika wa Wachawi haudumu, Watu wameuawa Kimara Ibrahim Juma anasema ni Gaza! Hivi huyu mzee alipataje Ujaji? Aliyemdanganya Othman Chande kuongea na Wahariri kamuuza kwa bei chee mno...
13 Reactions
16 Replies
588 Views
Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali...
3 Reactions
10 Replies
329 Views
Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya...
1 Reactions
38 Replies
826 Views
Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa. Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini...
2 Reactions
12 Replies
360 Views
  • Redirect
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na...
0 Reactions
Replies
Views
Zama zile Tuliitwa Ngedere na wengine wakadiriki kutumbia ya kwamba tuamie Burundi, lkn zama hizi tunaitwa Nguchiro. Jamani wanasiasa punguzeni zarau na kujiona ya kwamba mmefika climax au...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Rais wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, May 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika Daniel...
1 Reactions
9 Replies
568 Views
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Heshima sana wanajamvi, Kafulila tunaweza kumweka katika kundi la wanasiasa wepesi sana. Hana akili zaidi ya kujikomba na kusifu waliomteua. Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuna nini hadi...
3 Reactions
6 Replies
168 Views
Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imetoa tamko zito kuhusu hali ya amani na utulivu nchini kufuatia matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu...
10 Reactions
15 Replies
562 Views
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa...
0 Reactions
3 Replies
245 Views
  • Redirect
Kenyan President William Ruto is expected to address the Parliament of Tanzania on May 5, 2026, starting at 11:00am. Deputy Speaker Daniel Sillo said the event is aimed at strengthening...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…