Nakumbuka ziara moja ya hayati Magufuli mkoani Mbeya wakati Sugu akiwa mbunge, Shujaa alimpa kipaza sauti mbunge ili asalimie Wananchi basi Sugu akapanda kwenye gari ya Shujaa na moja kwa moja...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara...
Habari zenu..
Kuna tabia imezuka ya baadhi ya watu kuja inbox na kuanza kuomba pesa kwa kueleza shida lukuki.Sasa ndugu zangu mtu kuwa mpambe wa Kiongozi wa Nchi nk sio ndio kumaanisha kwamba ana...
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.
Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.
Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake...
Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao.
Kwa kile...
Mpaka usiku huu mkubwa bado watu wanatupigia makelele kisa kudhulumiwa matokeo au kukataa kutolewa matokeo kwa uongo wa simu /maelekezo kutoka juu.
Maelekezo yenyewe yana kanganya hivyo huenda...
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,Huyu Mkurugenzi deserves better tuache unafiki,
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anamteua binti huyu mdogo mrembo minong'ono...
Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa...
TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki
hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti...
BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan...
Kwa hiki kinacho endelea Kongo kuna uwezekano mkubwa moise katumbi kuwa raisi wa Kongo 2023
Baada ya kukataa candidat yake kisa sio mkongo wa baba na mama mwenyewe anajua amefanyaje kupitisha...
KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA
"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM.
Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist)...
Akiendelea na ziara mkoani Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, pamoja na Wakuu wa Wilaya kuanza kujipanga kwa ajili...
Mkoa wa Simiyu wafunga mwaka wa fedha unaoishia Juni30, 2022 kwa kuvunja rekodi ya makusanyo ya Halmashauri,
Simiyu imekusanya 14.2bn sawa na asilimia 108% kulinganisha na makusanyo ya 10.9bn...
Salaam Wakuu,
Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran.
Inadaiwa...
Chongolo kuwafikisha kwa Rais Samia ‘viongozi wa hovyo’
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Maji wa...
Wakati Serikali ikianza kushusha moto kwa halmashauri 85 zilizokusanya mapato chini ya malengo, huko Rorya wenyewe ni kama wameukwepa mtego huo, baada ya kukusanya mapato kwa asilimia 100.
Katika...
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati...
Kwa muda mfupi ambacho Kafulila ameongoza Mkoa wa Simiyu tumeshuhudia mageuzi makubwa ikiwemo kumtaka Mkandarasi aliyejenga barabara ya Maswa- Mwigumbi chini ya kiwango kuirudia kwa gharama zake...
Wakurugenzi Halmashauri kupimwa kwa kigezo cha ukusanyaji wa mapato
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu amesema Wakurugenzi wa Halmashauri...