voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,944
Anayo miradi yake ya kibiashara ambayo inahitaji kusimamiwa kwa 85% na yeye mwenyewe.
Akiisha kubali uteuzi na kuapishwa.
Ina maana anatakiwa kumkabidhi mtu mwingine usimamizi wa shughuli zake binafsi za kibiashara mpaka pale utumishi wake wa umma utakapokoma.
Anachokipata kwenye biashara zake ni zaidi ya atakachokipata akiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa.
Kama amekopa benki na ikawa amekabidhi mtu kusimamia biashara husika.
Anaweza filisiwa endapo ulipaji deni utasuasua kutokana na usimamizi hafifu.
Kwa hiyo msikimbilie kusema katenguliwa wakati hata kuapishwa hakuapishwa.
Utatenguliwa vipi kwa kitu ambacho hujaapishwa kukitumikia.
Ni kwamba uteuzi wake umesitishwa.
Na hii yawezekana ikawa ni baada ya ombi lake binafsi kwenda kwa mteuzi.