Nafuatilia ziara ya Rais Samia kupitia mkoani Mbeya kiukweli pengo la Sugu ni dhahiri!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Nakumbuka ziara moja ya hayati Magufuli mkoani Mbeya wakati Sugu akiwa mbunge, Shujaa alimpa kipaza sauti mbunge ili asalimie Wananchi basi Sugu akapanda kwenye gari ya Shujaa na moja kwa moja akaanza kueleza matatizo yanayoikabi Mbeya nzima katika ujumla wake

Leo Rais Samia anatoa Fursa kwa Wabunge tena anawaambia kabisa " Nielezeni matatizo ya Wananchi mnaowawakilisha" yaani hawa Wabunge ni weupe kabisa wao wanaanza kusifia Viongozi wa CCM wilaya na Mkoa

Wabunge wa Mbeya safari hii sijui walichaguliwaje wallah!!
 
Mbona mnasahau mapema sana ? Hujui kilichotokea uchaguzi wa 2020 ?
 
CCM Mlivyokuwa mnaingiza kura kwenye hotpot na mabegi mlikuwa mnamkomoa nani?

Halafu huyo unayemwita shujaa hujui ndio chanzo cha hayo matatizo?
 
Nakumbuka ziara moja ya hayati Magufuli mkoani Mbeya wakati Sugu akiwa mbunge, Shujaa alimpa kipaza sauti mbunge ili asalimie Wananchi basi Sugu akapanda kwenye gari ya Shujaa na moja kwa moja akaanza kueleza matatizo yanayoikabi Mbeya nzima katika ujumla wake

Leo Rais Samia anatoa Fursa kwa Wabunge tena anawaambia kabisa " Nielezeni matatizo ya Wananchi mnaowawakilisha" yaani hawa Wabunge ni weupe kabisa wao wanaanza kusifia Viongozi wa CCM wilaya na Mkoa

Wabunge wa Mbeya safari hii sijui walichaguliwaje wallah!!
Matunda ya dhulmati za chafuzi 2019/2020🤔
 
CCM Mlivyokuwa mnaingiza kura kwenye hotpot na mabegi mlikuwa mnamkomoa nani?

Halafu huyo unayemwita shujaa hujui ndio chanzo cha hayo matatizo?
Kila Moja ya zile mbeleko za wanakijani walibeba vibegi vya mgongoni kama wapo tayari kwenda vitani🤔
 
Kamuulize shangazi yako aliyempigia kura Halima Mdee, ni aibu memba wa JF haujui wabunge viti maalumu wanavyopatikana.
Wewe mnyasa member mahiri wa Jf tujuze Wabunge wa viti maalumu hapo Chadema mnawapataje?

Hulu CCM wanapigiwa kura

Tujuze Halima Mdee kafikaje Bungeni
 
Nakumbuka ziara moja ya hayati Magufuli mkoani Mbeya wakati Sugu akiwa mbunge, Shujaa alimpa kipaza sauti mbunge ili asalimie Wananchi basi Sugu akapanda kwenye gari ya Shujaa na moja kwa moja akaanza kueleza matatizo yanayoikabi Mbeya nzima katika ujumla wake

Leo Rais Samia anatoa Fursa kwa Wabunge tena anawaambia kabisa " Nielezeni matatizo ya Wananchi mnaowawakilisha" yaani hawa Wabunge ni weupe kabisa wao wanaanza kusifia Viongozi wa CCM wilaya na Mkoa

Wabunge wa Mbeya safari hii sijui walichaguliwaje wallah!!
Weupe kiaje mbona wamekuwa wakieleza hayo matatizo?

Serikali inatoa ufafanuzi wa utatuzi na yaliyo makubwa Rais anasema anaondoka nalo..

Kwa mfano mbunge wa Kyela ameongea vizuri Kuhusu shida ya madaraja ,akaomba madaraja ya chuma 4 kulingana na eneo la huko Rais akasema hilo analichukua..

Mwisho unatakiwa ujue tofauti kubwa ya Mwendazake na Samia, Mwendazake alikuwa busy na individual problem sasa Kwa Rais Samia hili hakuna.

Pili Lazima ujue kwamba kwa Sasa Serikali inatoa pesa nyingi sana yaani mabilioni kwa mabilioni na yanafanya miradi so matatizo ya kiujumla jumla yamepungua unless unazungumzia mambo ya sijuo vitu kupanda bei au Mafuta..
 
Mbungekapiga magoti na suti yake anashukuru.
Hata wewe ungeshukuru maana kama ukisikia mabilioni ya pesa yaliyomiminwa sio mchezo..

Tukiwaambia Serikali ya Sasa sio tuu ina pesa ila inasimamia miradi..

Na alipiga magoti kumuomba mh.Rais Madaraja ya Chuma 4 na akasema kule kuna mafuriko TARURA hawana uweao was Kujenga Yale madaraja.
 
Back
Top Bottom