Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII. Alisaidia sana...
56 Reactions
707 Replies
93K Views
Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui...
1 Reactions
16 Replies
67 Views
Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku Mabadiliko ya...
12 Reactions
91 Replies
2K Views
Katika ulimwengu wa siasa, kumekuwa na tabia ya wepesi wa kupuuza mambo fulani kwa kuyaita "nadharia za njama" (conspiracy theories). Mimi binafsi si muumini wa nadharia hizi, na mara nyingi...
3 Reactions
12 Replies
265 Views
Huyu mkuu nakumbuka kama amewahi kusoma pale Kigonsera nani anaweza kunikumbusha kidogo
0 Reactions
50 Replies
21K Views
Wakili na Mdau wa Demokrasia, Peter Madeleka, amesema kuwa hakuna demokrasia ya kweli inayoweza kuwepo katika nchi inayofuata mfumo wa vyama vingi vya siasa endapo chama kimoja kinamiliki na...
1 Reactions
3 Replies
104 Views
Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria...
63 Reactions
122 Replies
3K Views
Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore. Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya...
2 Reactions
18 Replies
161 Views
Usafiri wa mwendokasi kama hautatungiwa sheria zake itakuwa kazi bure. Hali ilivyo sasa ni vuluvulu
1 Reactions
7 Replies
125 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kupitia kalamu yetu, Bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora; hakuna gari linalopita kwenye Bandari ya Dar es...
1 Reactions
6 Replies
186 Views
Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma. Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia...
1 Reactions
6 Replies
128 Views
Mazingira ya sakata la dereva wa gari la serikali, landcruiser mkonga, kumtishia dereva wa basi la SATCO mjini Dodoma , liemegubikwa na sintofahamu nyingi. Ni hivi: 1. Gari hilo ni dark tinted...
16 Reactions
52 Replies
1K Views
Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya...
7 Reactions
144 Replies
835 Views
Ludovick Utouh amesema wananchi wana haki ya kushiriki katika masuala ya uendeshaji wa serikali, ikiwemo uandaaji wa bajeti na kupata taarifa kuhusu matumizi ya fedha za umma. Amesema Katiba...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Askofu wa Kanisa la Evangeliki la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, ameonya dhidi ya matumizi ya mimbara za kanisa na watu wanaotuhumiwa kwa vitendo vya uongo...
10 Reactions
13 Replies
341 Views
Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote. Leo kiongozi wa juu wa ccm amethibitishia Watanzania na Dunia kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au...
9 Reactions
14 Replies
358 Views
Wasalaam, Kuna jambo la kijiografia nalifanyia study. Mwenye ramani ya Tz yenye mikoa 26 na wilaya zake, naomba anitumie. Shukrani.
6 Reactions
42 Replies
489 Views
Hivi huyu Samia ni Rais kwa mujibu wa uchaguzi gani? Wote tunajua Oktoba 29 hakukufanyika uchaguzi. Wote tunajua tume ya uchaguzi ilitangaza matokeo ya uongo. Wote tunajua Samia hakupigiwa kura...
21 Reactions
50 Replies
768 Views
Shida ya kuwashughulikia Masikini badala ya kupambana na Umasikini ni kwamba kila mwaka unakuwa na maadhimisho ya kuondoa Machinga barabarani. Safari hii kuna nini cha tofauti kitakachofanya...
12 Reactions
18 Replies
320 Views
Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi...
4 Reactions
38 Replies
306 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…