Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa. Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe...
60 Reactions
130 Replies
11K Views
Kuna kitu huwa najiuliza wakati wote kuwa sisi Tanzania kipindi cha 2015-2021 pale Mungu alipo amua ugomvi tuliaminishwa kuwa kuna vita ya kiuchumi! Huu ulikuwa ni uongo na uzandiki wa wazi...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama unahisi Jeshi la Polisi na Mahakama haviko sawa. Unadhani ni Marekebisho gani yanatakiwa kufanyika ili Jeshi la Polisi liwe bora na Mahakama itende haki inavyotakiwa.
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano; Wakati wa Bunge...
22 Reactions
95 Replies
6K Views
Umeaminiwa na Rais umsaidie kazi ya sensa. Anna Makinda tunakuomba utoe tamko ili wanasemina 1. Walipwe posho zao za sensa. Halmashauri hazitaki kuwalipa leo siku ya 14. 2. Walazimishe watoe...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe. Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu. Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa? Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi...
1 Reactions
2 Replies
808 Views
Wana JF nisaidieni. Asubuhi mchana usiku taarifa za maendeleo ya Uchaguzi Kenya katika vyombo vya habari hapa Tz hadi kushangaza. Labda niko nyuma ya wengine lakini najiuliza ni lipi hasa la...
5 Reactions
81 Replies
5K Views
Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa muelekeo ulivyo,Chama cha Azimio,kushinda uchaguzi Kenya,kwa kutoa wabunge,Seneta,Magavana na viti vya wanawake wengi,japo matokeo rasmi bado.Leo waliochaguliwa,wa chama hicho,wanakutana na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kila nikipita mitaani naona sura zilizozeeka kutokana na ugumu wa maisha ilihali bado ni vijana. Ilitokea Kigoma kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2020, Profesa Lipumba aliyekuwa mgombea wa kiti cha...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI Na David KAFULILA Jumapili, Juni 12 , 2022 Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya...
10 Reactions
81 Replies
6K Views
Hii ni thread ya pongezi maalumu kwa Rais Samia na Serikali yake kwa kuliona hili la Utunzaji Vyanzo vya Maji mkoani Iringa Haya Maji yanayotoka Ihefu na kupitia Mto Ruaha Iringa ndio Uhai wa...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
Wakati Serikali ikitarajia kuanza kutoa ruzuku katika pembejeo za kilimo ikiwemo mbolea, wakulima wametakia kufuata utaratibu ulioweka ikiwemo kujisajili ili kufaidika na fursa hiyo...
0 Reactions
5 Replies
844 Views
Labda tumepata Katiba Mpya je rasilimali zetu zilizobinafisishwa kwa mikataba mibovu zitarudishwa? Je, kodi zetu zilizoporwa na viongozi wa CCM kupelekwa Uswis fedha hizo zitarudishwa? hili suala...
1 Reactions
5 Replies
738 Views
Jana vyombo vyote vya habari vimemwonyesha rais wa Zanzibar akisaini mkataba wa uchimbaji mafuta na gesi huko Zanzibar na akiturushia dongo wabara kwamba tusiyatolee macho kodo hayo mafuta maana...
4 Reactions
89 Replies
13K Views
"Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kuepuka lawama. Lakini kuilaumu Kamati Kuu ni kukiri kwamba sasa Chama Cha Mapinduzi kina kansa ya uongozi ambayo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Emmanuel Mpawe Tutuba Permanent Secretary Ministry of Finance and Planning, Tanzania . the theme, Achieving Climate Resilience, and a Just Energy Transition for Africa, was chosen to provide a...
2 Reactions
0 Replies
749 Views
Wale wanaopiga kelele kwamba Tanzania tunakopa na tumekopa Sana msikilize huyu Mwamba vizuri ndio utaelewa kwanini Mungu alimleta Rais Samia wakati huu, Mkuu wa mkoa wa Simiyu akihojiwa na kituo...
11 Reactions
88 Replies
7K Views
Habari, Nitatoa mifano angalau 3 kuthibitisha hoja katika title ya uzi wangu. Mfano # 1 Diwani analipwa pesa ndogo, ilikuwa chini ya laki 4 labda kama mabadiliko yamefanyika majuzi. Huyo diwani...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…