Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kabla matatizo ya tozo hayajapoa huko tena hazina moto umewaka wastaafu wajiandae kuisoma namba kama gazeti la Tanzania Daima halina habari za upotishaji ! Waziri wa fedha kwa sasa ndiye...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri: Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Hakuna mwananchi asiyependa maendeleo lakini tozo zenu zimekuwa mwiba mkubwa kwa wananchi hilo mnalijua badala ya kupunguza matumizi makubwa Serikalini nyie mnazidi kuongeza mzigo kwa wananchi...
2 Reactions
3 Replies
578 Views
Ingawa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu tayari inachunguza uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na mauaji ya halaiki nchini Ukraine, haiwezi kuendeleza uchunguzi huo katika madai ya...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Wananchi wapo katika hali ya kupigwa na butwaa kuhusiana na hayo makato mapya ya mihamala kibenki. Serikali yetu imekuwa ikifanya maamuzi ya tozo bila utoaji taarifa kwa wananchi husika ambao sisi...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu. Serikali hii hii ya tozo? Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili...
3 Reactions
14 Replies
965 Views
Nimebahatika kufuatilia na kushiriki mikutano na mijadala maeneo mbalimbali kuhusu Muungano wa Tanzania hii. Mitazamo ya baadhi ya watu inaashiria muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar unaendelea...
1 Reactions
7 Replies
694 Views
  • Poll Poll
Kwa muda mfupi iliyodumu serikali ya awamu ya 6, zimeanzishwa Tozo mbalimbali kwaajili ya kuongeza makusanyo ya Serikali. Je unadhani tozo hizo ziendelee au serikali itafute namna nyingine ya...
3 Reactions
5 Replies
524 Views
USIACHE KUMSIKILIZA HADI MWISHO HAKIKA MTU HUYU NI HAZINA KWA TAIFA, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Jumanne Agosti 23, 2022 ameshiriki katika zoezi la...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana na hasa wale wazalendo mapambano kudai haki, uhuru na maendeleo bado yanaendelea. Alisema J. J. Rawlings (rip): "Ni lazima ifikie pale ambapo hata kama shweitani atakuwa ndiye...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Imeelezwa kuwa Wananchi wengi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo kwani 42% wanasema kuwa hawajui yanatumikaje ikilinganishwa na 38% ya wanaosema wanajua namna mapato hayo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho. 👇 Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari! Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu. Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Kesho ni siku ambayo, kesi ya Madai ya Uhalali wa Muungano iliyofunguliwa na Wazanzibari wapatao 40,000 itasikilizwa. Waswahili wana maneno yao wanasema "Bora kua na adui alieelimika utanufaika...
9 Reactions
88 Replies
12K Views
Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam...
19 Reactions
189 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…