Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Jaji mstaafu, Mhe. Damian Lubuva aliyemaliza muda...
Salaam Wakuu,
Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk. Albina Chuwa, tunaomba apumzishwe ili kazi hii ya Sensa iende Vizuri. Hili ni Suala la Kitaifa si Swala la CCM. Kila mtanzania...
Hivi huyu mtu anafahamu hata Medical Ethics?
Waziri wa afya jifunze ‘medical ethics’ under the concept of ‘non malificence’ you can’t do harm to a patience.
Hakuna priority kwenye afya who...
Hapana asiejua kwamba Zanzibar inatawaliwa na kuburuzwa na Tanganyika. Kwa miaka sitini yote ya muungano, ndio kwanza Rais aliepo madarakani hivi sasa ndio mzaliwa wa Zanzibar, lakini...
WAZIRI AWESO AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA MIRADI YA MAJI;AMUONDOA MHANDISI WA MAJI KONDOA
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuondosha katika nafasi ya Meneja wa RUWASA Wilaya Kondoa Mhandisi...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Gondwe amewataka Makarani wa Sensa wilayani kwake wachape kazi kwani hakuna karani atakayekopwa
Gondwer amesema fedha za Makarani.zipo tayari
Source: Millard ayo tv
Kelele ni nyingi lakini kwa sehemu kubwa sauti zinazosikika ni zile za wananchi wa kawaida tu, hatuoni wanaharakati Wala vyama vya kisiasa hususani chama kama CHADEMA kikitoa tamko lolote zaidi ya...
Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa
Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru...
Mkuu wa mkoa wa Singida, Peter Serukamba amesema NBS imewapa Power bank kwa ajili ya Vishikwambi kwa maeneo yenye Changamoto za umeme
Power bank hizo zimesambazwa kwa helicopter za Polisi nchi...
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani...
Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko.
Mnahabari Hadi sasa kuna...
Taarifa ya habari ya UTV imeripoti leo magari ya kubeba cement yamekwama kwa zaidi ya siku saba kwa ukosefu wa mzigo wa cement kutokana na kusimama uzalishaji.
TANESCO imeshindwa kutoa umeme wa...
Nimesikia tetesi kwamba mzee Lyatonga Mrema anaenda kustaafu nafasi yake ya Mwenyekiti wa Parole na inategemewa atarithiwa na mh Freeman Mbowe
Kuna yoyote mwenye uhakika wanabodi?
Moja kwa moja,
Kwanza niwasifu wapinzani wote waliojitolea maisha na muda wao kuleta sera mbadala, kukosoa na kushauri serikali pale inapobidi.
Wapinzani walipitia kipindi kigumu sana hasa hasa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti ndio imelifikisha taifa hapa lililopo sasa kwenye mkwamo na mgogoro mkubwa wa kuichumi kwa kubariki msururu mkubwa wa tozo kwa wananchi masikini.
Bahati mbaya...
Naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa niwasilishe maoni yangu ikiwa Kamati za Bunge zinakutana Dodoma kujadili masuala mbalimbali yanayohusu nchi yetu.
Naomba Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson...