Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

Yaani saa hizi kina Mwigulu wanamng'ong'a mtoa Uzi wanaambiana asee Kuna watu viazi Tanzania jamani!
 
Yaani saa hizi kina Mwigulu wanamng'ong'a mtoa Uzi wanaambiana asee Kuna watu viazi Tanzania jamani!
 
Tanzania chini ya mama samia imeanzisha miradi mingi ya maendeleo haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru mwaka 1961.Serikali inajali sana wananchi wake wakulima wanafaidi bei kubwa ya mazao yao,wafanyabiashara wanafanya biashara zao bila matatizo biashara nyingi zinaanzishwa,ukija kwa watumishi wa serikali ndio usiseme wanapanda madaraja na mishahara inaongezwa.Kwa kweli huyu mama anachanja mbuga na ataifikisha nchi yetu pazuri sana,hakika kazi iendelee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom