Uteuzi: Balozi Mwanaidi Sinare Maajar ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la UDSM

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Jaji mstaafu, Mhe. Damian Lubuva aliyemaliza muda wake.

Pia, amemteua Prof. William Andey Lazaro Anangisye, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa Muhula wa Pili.

1661446156165.png
 
Lubuva apumzike tu umri umesogea, toka akiwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi alishasogelea umri wa kustaafu kama sio umri ulishafika.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Jaji mstaafu, Mhe. Damian Lubuva aliyemaliza muda wake.

Pia, amemteua Prof. William Andey Lazaro Anangisye, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa Muhula wa Pili.
samia teuzi karibia zote ni asha,mwanaidi,khamis,juma!
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Anachukua nafasi ya Jaji mstaafu, Mhe. Damian Lubuva aliyemaliza muda wake.

Pia, amemteua Prof. William Andey Lazaro Anangisye, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa Muhula wa Pili.
 
Nchi hii haina vijana?Nyerere alianza akiwa na miaka 30,warioba,the same,kawawa the same wazee ondokeni pumbavuu
Kuna nafasi si za kuchukua kijana aliyetoka chuo na kumpa majukumu. Pili usifananishe zama za akina Nyerere walioazima wataalamu toka nje na sasa. Unayajua majukumu ya mwenyekiti wa baraza la chuo kikuu?
 
Mwisho wa siku ili kuleta tija vyeo vyote kama hivi, watu wa apply na kuchaguliwa based on merits, na sio otherwise...... kaazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom