Tabasamu la mauti

Tabasamu la mauti

Malcom XX

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2020
Posts
470
Reaction score
950
Ndugu zangu wanajamvi imeninibidi niwajulishe haya ninayoyaona huku kijijini kwangu mwagiligili wilaya ya kwimba, wananchi wanatabasamu lakini wakitokwa machozi mioyoni.

Kilio kinasikika TOZO TOZO, aliyeitwa mama mponya machungu ghafla amegeuka kuwa mama wa kambo anayenyanyasa watoto yatima.

Tumkabidhi Mungu shida zetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom