Kwa mujibu wa ibara ya 50(1) ya Mkataba unaoanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kila nchi mwanachama wa Jumuiya zinapaswa kuchagua wawakilishi tisa kwenda kuwa wabunge wa Jumuiya ya Afrika...
Kwanza kabisa,
kama wadau wa siasa za Tanzania, sina shaka yoyote kwamba sote tunakubaliana kwamba, Tanzania hakuna vibrant opposition, wala hakuna united opposition kuchallenge the ruling party...
Sina namna yoyote nyingine ya kuwafanya Wajumbe hao kwa utumbo waliouandaa katika kinachoitwa ripoti ya Uchunguzi wa vurugu za October 29
Kwa tafsiri isiyo rasmi kumdharau Mtu ni sawa na...
Aliongoza Tume ya kuchunguza Mauaji ya kinyama ya bonde la Ihefu 2006
Na Baadaye akapewa tena shavu la kuongoza kilichoitwa tume ya Haki Jinai
Yeyote mwenye chochote kilicholetwa na Tume zake...
SAsa kesho ndio tunasikia kupanda kwa nauli za usafirishaji,wenzetu kenya wameshaingia kwenye phase 2 yaani uhaba wa mafuta kutoka phase 1 ya kupanda bei.
Kesho Bi mkubwa atakuja na bla bla kibao...
Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake.
Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye...
Ccm mtandao wako bize kusaini mikataba ya kununua umeme kutoka Ethiopia huku bwawa la umeme la Mwl Nyerere likitumika kwa asilimia 40 tu mpaka sasa.
Humphrey Polepole hautasahaulika vizazi na...
As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu...
Ukiondoa mapungufu ya uundwaji wa Tume yenyewe, inaonyesha Mwenyenayo hajaielewa na Wananchi hawaielewi.
Kauli kama hizi baada ya Tume kukabidhi ripoti zinaleta wasiwasi zaidi.
Picha za...
Katika Kile kinachoonekana kuwa Uadilifu katika Tanzania sasa ni msamiati katika kila Mhimili, Jaji Mkuu Chande Othmani ameghushi umri ili abaki katika ajira hadi mwaka 2016.
Jaji Chande Othman...
Hili ni bora likafahamika mapema tu kwa watu wote, Hatuwezi kusahau Mauaji ya maelfu ya Watanganyika kwa gharama ya hela za madafu walizopewa akina Bitchuka, uhai wa binadamu haujawahi...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akihojiwa na Wasafi TV amesema kuwa Deni la Taifa linakua kwa kasi kwa sababu fedha hizo zinaenda kwenye miradi ila kuna watu wanapotosha kuonekana fedha...
Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika...
Baada ya kelele za wadau hatimaye Alloyce Nyanda ameachiwa akiwa hai
Ikumbukwe kwamba Nyanda mtu mwenye Kula ugali n.a. Sangara mkavu alituhumiwa kufadhili vikundi vya mitandaoni, Tukashangaa...
Sote ni mashahidi jinsi ambavyo AZAKI zilivyokua zinacelebrate na kufanya projections za vifo vya waTanzania kuhusu ghasia za Oct.29.2025, kabala ya tume ya jaji chande kuingia kazini na kuja na...
As the ICC prepares a landmark dossier on the 2025 massacres, President Samia Suluhu Hassan is trading state funds for Republican influence in a desperate bid to escape global pariah status.
By...
Mahakama Masjala Ndogo ya Dar es salaam April 30, 2026 imekataa ombi la Tundu Lissu la kuunganishwa katika shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya...