Wakili Jebra: Kama kupambana na wizi wa rasilimali ni kuzungusha ukuta, zungusha nchi nzima

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kama kupambana na wizi Wa rasilimali ni kuzungusha ukuta! Nadhani wamshauri azungushe nchi nzima tu

FF0193D0-FDB7-43B5-8F25-554BE55FA2E9.jpeg
 
hata mimi sijaelewa mantiki labda kwasababu sijawahi kuwa mchimbaji wa madini hayo eneo hilo, wazoefu hebu tuelewesheni inawezekana serikali ina mantiki lakin wananchi hatujaelewa tu, mkitufahamisha tutaelewa. kwa ule ukuta, hivi mimi nina gemstone ya Tanzanite mkononi siwezi kuuruka kweli ule na nisikamatwe? yaani madini yaani,
 
nadhani anamaanisha kuwe na geti moja tuu ambalo litakuwa rasmi kwa madini kupitia katika utokaji wake,japo hapa atakuwa amedhibiti madini kuto kutoka kihalali ila sio mikataba na nk
 
hata mimi sijaelewa mantiki labda kwasababu sijawahi kuwa mchimbaji wa madini hayo eneo hilo, wazoefu hebu tuelewesheni inawezekana serikali ina mantiki lakin wananchi hatujaelewa tu, mkitufahamisha tutaelewa. kwa ule ukuta, hivi mimi nina gemstone ya Tanzanite mkononi siwezi kuuruka kweli ule na nisikamatwe? yaani madini yaani,
Kwa nini usiende ukajaribu kuuruka ule ukuta iliuone hali gani itatokea..kuna ulazima gani wa kutuuliza sisi unatupotezea muda wetu bure..sidhani kama kuna mtu hapa jamvini ameshawahi fanya tendo la wizi kama ambalo unalotaka kulijaribu..nenda kule kajaribu usituilize maswali ya kitoto
 
Wanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?

Kama china walijenga ukuta why not us?
kwahiyo maumivu ccm waliyotuletea zaidi ya miaka 50 nikuweka ukuta?
 
Watanzania Mungu ametuona kwa kutuletea mkombozi dhidi ya makabaila, mafisadi na mabeberu yaliyokuwa yakiitafuna nchi..hivi hili swali umeuliza kwa kutumia akili yako au umeamrishwa na fisadi uulize
wewe wajua!
 
Back
Top Bottom