Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,042
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.

Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.

TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.

1661862223127.png
 
Hapo anatafutwa mtoto wa Tony Blair afungue Symbion Season 2 kwa ajili ya kufidia ukosefu wa umeme 😂😂😂 kwa hio mikoa ambapo bwana Februari Marope atajitwalia billion 5 kila siku kama gharama za kuendesha mtambo huku billion 2 zikiishia mfukoni mwake kila iitwapo leo kupitia kampuni hio ya mchongo.
 
Back
Top Bottom