Mtakwimu mkuu wa serikali NBS, Dr. Albina Chuwa amewatahadharisha makarani kuwa hawatalipwa kiasi cha malipo kilichobaki endapo hawatafikisha kaya 100 kila mmoja, wakati akieleza mwenendo wa zoezi...
Hapo awali ni wapangaji wa nyumba, pango na maofisi kwa ajili ya ya Biashara (commercial/business Building) ndiyo waliokuwa wakitakiwa kulipa kodi iitwayo withholding tax ya asilimia kumi (10%)...
Huu hapa ni ukweli ulio mchungu, hasa kwa aubebaye mzigo huu:
Kwa hakika kwa mlamba asali, chawa au kibaraka wao, maisha si ndiyo haya sasa?
Inafahamika kusikia kwenu ni kule kwa kenge...
Nimekuwa nikimsikiliza waziri wa fedha na Tamisemi wakieleza mafaniko ya tozo huku wakionyesha ujenzi wa madarasa na zahanati kwenye vijiji na Tarafa mbalimbali. Swali kubwa hapa ile trillion 1.2...
Kimsingi mambo yote ya Serikali hupitishwa bungeni
Mishahara ya Watumishi hupitishwa bungeni tena kwa sheria baada ya mjadala wa Bajeti na wabunge kupinga kura
Kwa kuwa Bunge lilijadili na...
Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa.
Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi...
Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka.
Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele.
Acha...
UVCCM KWENYE VITA YA MAFUTA TUPO UPANDE GANI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Mjadala mkubwa kwa Taifa letu ambao unashika kasi kila kuitwapo leo ni kupanda Kwa gharama ya maisha kuliko sababishwa...
Ukiiangalia Zanzibar kama Zanzibar nipadogo lakini padogo penye mambo makubwa, mhalifu kutoka eneno lolote anaweza kuingia Zanzibar", Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha...
Kwa namna yoyote ni lazima tulipe kodi au tozo ili tusimame kama nchi inayojitegemea.
Wahuni wameharibu maana nzima ya tozo au kodi kiasi cha kuzua taharuki nchini.yaani watendaji wetu wamefanya...
Bado tuko nyuma kiasi fulani. Pale Kawe Halima Mdee alidaiwa kukamatwa na kura kwenye mabegi meusi. Kule Arusha kura zilikamatwa kwenye hotpot ya ugali.
Wenzetu hapo jirani wanaiba kielektroniki...
27 June 2022
HUMAN RIGHT ACTIVIST SUFFERS DEFEAT OVER DEATH SENTENCE
By FAUSTINE KAPAMA-Judiciary
THE Full Bench of the Court of Appeal has dismissed the appeal lodged by human right activist...
Mbali na tamko la waziri la waziri wa kilimo Mh. Hussein Bashe kutoa bei elekezi ya mbolea kuwa ifikapo tarehe 15/08/22 maduka yote nchini yanayouza pembejeo za kilimo yawe yameshusha bei ya...
Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa...
Nadhani hili ndio tatizo kuu nchi, hii yaani watu wanaamini kuwa wameletwa Duninia.kusemewa na kutetea na kwamba kuna watu special walio kuja duniani kuwatetea. Haya makato mapya mfano wafanyakazi...
Tumefundishwa kwamba serikali ni watu na watu ndio serikali. Serikali sio 'dubwana' fulani hivi; bali serikali inaundwa na watu wanaotoka miongoni mwa wananchi na kuhusisha wananchi wote...
VICHWAVYA HABARI KWENYE MAGAZETI NA MIJADALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII DESEMBA 2025
1. Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha SGR kuunganisha Tanzania na nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na DRC...
Mimi kuna ishu hii inanidatisha...nimesikia kwa chinichini TTCL imeingia kwenye 4G sijajua ni kisiasa au vp!!!!?...maana sijaona hata tangazo lao moja....hivi ni wanaifanyia test au wameingia...