Juzi baada ya Rais John Magufuli kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambayo yalimtupa nje aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba kila mmoja alisema yake, lakini jana...
Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini...
Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
Wakati ule habari ya jiji ilikuwa ni kuzamia tu mamtoni ama kwa ufadhili wa washua au kuchukua meli iwe Dar au Beira. Ndio utawaona hata akina Le Mutuz walilowea Unyamwezini kuyasaka maisha na...
Uchaguzi halali wa viongozi ni jambo la kuheshimika dunia nzima. Na ndio maana haijalishi gharama za uchaguzi wa haki zitakuwa kiasi gani lakini utafanyika tuu.
2020 ulifanyika Uchaguzi Tanzania...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa...
Waziri Ummy Mwalimu wewe ni mchapakazi sana hivyo naomba nikutie moyo na nikushauri pia.
Nimeona kwa masikitiko makubwa ukieleza mengi ambayo yamefanya mfuko kuwa na hali mbaya, mojawapo ni...
Siku zote tunasemaga kuwa Kenya imetuzidi sana kwenye mambo mengi.
Hapa ni Rais wa nchi hiyo Mh. Uhuru Kenyatta akiranda mitaani jijini Mombasa.
Sijawahi kuona hapa kwetu Ugiriki Rais akiwa huru...
Tuwe tu wakweli na tuachane na siasa nyepesi stendi binafsi za mabasi ya mikoani ya makampuni makubwa zitaendelea kuwepo. Hakuna abiria makini anayefurahia kugombaniwa kama mpira wa kona pale...
CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua...
Ninasikitika sana kuwa na watu tunaowategemea kwa sababu ya usomi wao wangetusaidia kufikiri namna nzuri ya kukusanya kodi ya nyumba.
Mimi naomba nitoe mapendekezo:
Tafuteni wataalamu wa mifumo...
Nawasalimu sana wakuu,
Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani...
Barabara zinajengwa kwa kodi zetu na mikopo ambayo tunailipa, na pia kuna kodi ya barabara ambayo kwa sasa iko kwenye mafuta.
Afya sio bure tunalipishwa, maji ni tunalipa, umeme tunalipa sasa ni...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua SACP Mzee Ramadhan Nyamka kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza
SACP anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenerali Suleiman Mungiya ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa...
Nimesikitishwa sana na kauli ya Mh. Mwigulu Nchemba, kwamba serikali inapaswa kupunguza viwango vya ufaulu vinavyoweza kuwapa fursa vijana wanaomaliza elimu ya kidato cha nne kujiunga na vyuo vya...
Huku kwetu kijijini mzazi ambae nimkulima akigundua watoto wake niwazuri kwenye kula ugali lazima aongeze ukubwa wa shamba analolima mahindi.Shamba lazima liwe kubwa kuendana namahitaji ya chakula...
SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA
Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza...
Nilimsikiliza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, hapo jana Katika kile alichokiita ni kutoa ufafanuzi na kilio cha wananchi kuhusu tozo nyingi wanazokatwa kupitia miamala ya simu na sasa kupitia...