Waliompenda Rais Samia toka zamani wengi wao walikuwa wanaitwa Sukuma Gang, wafuasi wa mwendazake walitaka asifike alikofika leo

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini ateseke.

Mimi nilitumia principle ya physics inaitwa principle of conservation of energy which states that energy can neither be created nor destroyed but it can be transformed from one form to another form.

Nilimaanisha kuwa huwa haupo muujiza wa kuendesha nchi salama endapo usipokusanya hela zetu kwa weledi kutoka kwa wateja wetu na mawakala wetu wanaoitwa matajiri. Matajiri hela za kodi huwa sio zao huwa ni za wateja ambao ni watanzania. Sasa hawa matajiri ni ma agent walioaminiwa na serikali kutunza hela za serikali.

Sasa ulivuruga ulipojaribu kushauriwaa vibaya na wabaya wa Magufuli, ambao wengi wao walikuwa na wewe pamoja na ni chama kimoja sasa wataanza kukuruka mmoja mmoja.

Rais Samia usipuuze kilio cha wananchi, Mwalimu Nyerere aliwahi kusema chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kuja kukifuta machozi nacho ni kilio cha maputo.
 
Mambo kupalanganyika. Ngoja tusubiri press ya leo kama hatujaambiwa twende Sudan Kusini.
 
Lakini viongozi wote hao si tuliwachagua wenyewe tena kwa kura za kishindo au tunajisahaulisha?
Hakuna tofauti ya CCM, mbunge, bunge na serikali sasa mnalialia nini.
 
Bi tozo hamnamo mule!

Wewe utakubalije uongozwe na kupelekeshwa na kundi la kina Makamba?

Ni vile tu watz ni wapumbavu kama alivyosema Mbowe, ila vinginevyo angesharudi kula urojo zamani tu.
Mbowe ni mmoja wapo wa wapumbavu wakuu tz, ujio wa magufuli na kifo cha magufuli vyote ni funzo kuwa mbowe ni mpumbavu kwa sababu hakuna mtu mwenye akili hata chembe anaye weza kumpinga JPM sasa mbowe alikuwa vp kipindi cha jpm..tuliwaambia siku zote kumfananisha MZALENDO JPM NA SA100 NI SAWA SAWA NA KUFANANISHA CHAKULA NA MAVII WATU WAKASEMA TUNATUKANA.

KWANZA SA100 NI MNAFIKI NA MWONGO KWELIKWELI ..UTASIKIA TRA INAKUSANYA ZAIDI KODI KULIKO KIPINDI CHA JPM WAKATI MAMBO NI KINYUME KABISA UCHUMI UMEKUFA NA UNAKWENDA KUFA KIKAMILIFU BAADA YA HUU MWAKA.

MPAKA SASA SERIKALI INATEGEMEA MIKOPO KULIPA MISHAHARA ..HAKUNA MRADI WOWOTE MPYA WA SAMIA TOKA KUINGIA MADARAKANI HAKUNA HATA KM 1 YA BARABARA MPYA ILIYO JENGWA DAR ES SALAAM
 
Basi wewe sio mfatiliaji serikali hii ya awamu ya sita imebolesha miundombinu mpaka vijijini Rais Samia Suluhu ameleta maendeleo mengi ndani ya siku 531 tena katika uongozi wake hatumii nguvu au mlizoea kupelekeshwa
Hapa dar hata kilometa 2 tu yabarabara kashindwa kujenga ...unataka kutudanganga vijiji gani wakata hata umeme wa rea umekufa sa100 ni huo ndiyo ukweli
 
Umeshakatwa tozo kwenye bando unalotumia we tulia dawa ikuingie, safari hii mtaandamana bila chadema kuwaambia muandamane.
Sisi watu wa legacy hatuwezi kufuata upumbavu wa chadema adui yetu ni pamoja na chadema pia
 
Back
Top Bottom