MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,575
- 8,911
Mama anaupiga Mwingi.
Mama kauli zake ni kama zinapigwa na upepo zinapotelea mbali kabisa hakuna anaye zifanyia kazi.
Chukulia swala la yeye kuhusu trafiki kula rushwa, hii kauli alisha irudia kama mara 2 hivi ila hakuna kinacho fanyika. Jamaa ndiyo kwanza wanazidisha upigaji kwa sasa na pia utakumbuka Kinana naye aliwahi shauri wapunguzwe barabarani ila still bado hakuna kitu kimefanyika.
Nadhani ni sauti yake kama ya Whitney Houston ndio inafanya wasifanyie kazi kauli zake, sipati picha Mwendazake atoe kauli then isifanyiwe kazi yaani palikuwa panachimbika.
Anashindwa kuelewa hawa watendaji wake wanahitaji sura ya kukasirika, sasa yeye anawabembeleza sana. Anawaita wakina Nape watoto wake na hii ndiyo inawaongezea kiburi wakina Nape.