CHADEMA ni paka mwenye roho ngumu, ila kiuhalisia amekufa!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!

David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!

Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa chochote na alijua kucheza na hisia za watanzania alitushika haswa! Tamaa ya Mbowe Ilimuondoa CHADEMA! Huyu mwamba angekuwepo mpaka Leo CHADEMA ingekuwa imara sana! CHADEMA inakufa ila wenyewe wanadai haijafa, lakini ukiangalia kwa jicho pana unaona kabisa hata karibu mkuu wa sasa hana ubunifu wa kutufanya bize!

Leo hata kile kitengo cha mitandaoni au kurugenzi ya habari nikama haipo na kama ipo basi hawajui wafanye nini! Mtumbwi unazama labda wanasubiri uchaguzi ndio waanze kufurukuta.

Kuna njia za kukifanya chama kiwe mdomoni mwa watu na kiwe na matukio ya kipropaganda lakini hakuna tena hizo system, zote zimestaki. Nawaona bado wanakiogopa kivuli cha Magufuli, kurugenzi ya habari ya CHADEMA kwa sasa haijulikani kama ipo. Kaeni chini muanze upya chama kinakufa!
 
Chadema ambayo haina ofisi hata wilayani ndo ishike nchi?

Hata ofisi za mikoani hufungwa mara nyingi.

Siipendi ccm lakin imejipanga kuongoza hadi 2040
 
Chadema ikifa na ccm nayo ishakufa !

RIP VYOTE

Karibu Tanzania mpya ya katiba Mpya na vyama vipya !

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Mtoa hoja niambie hapa kwa kuweka facts nini ambacho serikali ya CCM inaweza kusimama na kusema tumeifanyia nchi maendeleo haya,na hizi ndio challenges tunazokabiliwa nazo, elewa ccm ipo madarakani more than 50yrs!
 
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!

David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!

Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa chochote na alijua kucheza na hisia za watanzania alitushika haswa! Tamaa ya Mbowe Ilimuondoa CHADEMA! Huyu mwamba angekuwepo mpaka Leo CHADEMA ingekuwa imara sana! CHADEMA inakufa ila wenyewe wanadai haijafa, lakini ukiangalia kwa jicho pana unaona kabisa hata karibu mkuu wa sasa hana ubunifu wa kutufanya bize!

Leo hata kile kitengo cha mitandaoni au kurugenzi ya habari nikama haipo na kama ipo basi hawajui wafanye nini! Mtumbwi unazama labda wanasubiri uchaguzi ndio waanze kufurukuta.

Kuna njia za kukifanya chama kiwe mdomoni mwa watu na kiwe na matukio ya kipropaganda lakini hakuna tena hizo system, zote zimestaki. Nawaona bado wanakiogopa kivuli cha Magufuli, kurugenzi ya habari ya CHADEMA kwa sasa haijulikani kama ipo. Kaeni chini muanze upya chama kinakufa!
JamiiForums753274111.jpg
 
Zitto alitoka chadema haikufa, slaa alitoka chadema ipo, hamahama ya wanachama mashinji, nassari, etc lakini chadema ipo magufuli nae kaacha chadema ipo, inabidi ujue kuwa wanachama wa chadema hawapo kishabiki wapo kiimani huku hatugawa pesa kama kwenu
 
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!

David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!

Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa chochote na alijua kucheza na hisia za watanzania alitushika haswa! Tamaa ya Mbowe Ilimuondoa CHADEMA! Huyu mwamba angekuwepo mpaka Leo CHADEMA ingekuwa imara sana! CHADEMA inakufa ila wenyewe wanadai haijafa, lakini ukiangalia kwa jicho pana unaona kabisa hata karibu mkuu wa sasa hana ubunifu wa kutufanya bize!

Leo hata kile kitengo cha mitandaoni au kurugenzi ya habari nikama haipo na kama ipo basi hawajui wafanye nini! Mtumbwi unazama labda wanasubiri uchaguzi ndio waanze kufurukuta.

Kuna njia za kukifanya chama kiwe mdomoni mwa watu na kiwe na matukio ya kipropaganda lakini hakuna tena hizo system, zote zimestaki. Nawaona bado wanakiogopa kivuli cha Magufuli, kurugenzi ya habari ya CHADEMA kwa sasa haijulikani kama ipo. Kaeni chini muanze upya chama kinakufa!
Kingine ni hiki , huoni aibu kwa wahamiaji kutoka chadema kupewa mavyeo na ma vieite huku wewe ukibakia kuosha sakafu za ccm kwa gharama ya chakula cha kujikimu tu ?
 
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!

David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!

Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa chochote na alijua kucheza na hisia za watanzania alitushika haswa! Tamaa ya Mbowe Ilimuondoa CHADEMA! Huyu mwamba angekuwepo mpaka Leo CHADEMA ingekuwa imara sana! CHADEMA inakufa ila wenyewe wanadai haijafa, lakini ukiangalia kwa jicho pana unaona kabisa hata karibu mkuu wa sasa hana ubunifu wa kutufanya bize!

Leo hata kile kitengo cha mitandaoni au kurugenzi ya habari nikama haipo na kama ipo basi hawajui wafanye nini! Mtumbwi unazama labda wanasubiri uchaguzi ndio waanze kufurukuta.

Kuna njia za kukifanya chama kiwe mdomoni mwa watu na kiwe na matukio ya kipropaganda lakini hakuna tena hizo system, zote zimestaki. Nawaona bado wanakiogopa kivuli cha Magufuli, kurugenzi ya habari ya CHADEMA kwa sasa haijulikani kama ipo. Kaeni chini muanze upya chama kinakufa!
Mi nachojua mtu mbabe aliyetaka kukiua CHADEMA yeye ndio kauliwa na vidudu vidogo vikorofi visivyoogopa vyombo vya dola...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom