Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi...
2 Reactions
1 Replies
821 Views
Hakika baada ya kufafanuliwa Jinsi KOKOKOTOO KIPYA kinavyofanya kazi Nawaonea HURUMA Watumishi wa UMMA wanaotarajia KUSTAAFU kuanzia Tarehe 1/6/2022 Ukweli Hayati MAGUFULI kwa KIKOKOTOO hiki...
12 Reactions
81 Replies
12K Views
Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka...
18 Reactions
61 Replies
5K Views
Kaimu mkurugenzi wa Vodacom, Hilda Bujiku amesema tozo za miamala ya simu ilivyoanza walipoteza asilimia 30 ya mapato ya kampuni ila wanategemea miamala itarudi. Hilda amesema kuna watu wameacha...
16 Reactions
40 Replies
4K Views
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM. Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na...
20 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni kweli kuwa hatuwezi kuwa na kitu kingine badala ya bunge kinachoweza kuisimamia serikali kwa gharama ya chini? Mfumo wa bunge unatumika duniani kote?
1 Reactions
8 Replies
626 Views
One of the biggest things to happen to Dar es Salaam is the Dar Rapid Transit (Dart) project. The avant-garde infrastructure is a much welcome addition to the city landscape given its...
2 Reactions
1 Replies
889 Views
Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi. Mimi binafsi sijaona ubaya wowote wa serikali kuweka tozo na nina fikiri hakuna njia nyingine kwa wakati...
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
54 Reactions
72 Replies
6K Views
Tukutane Kinondoni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ZOEZI LA UGAWAJI WA KADI ZA BIMA KWA MABALOZI 603 KATIKA JIMBO LA KINONDONI. #CCMImara #KaziIendelee
0 Reactions
4 Replies
536 Views
Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo...
33 Reactions
141 Replies
10K Views
Kuhusu adhabu iliyopewa chombo cha Habari cha Zama Mpya TV
4 Reactions
25 Replies
2K Views
WANUNUZI WA TUMBAKU AMBAO HAWAJAWALIPA WAKULIMA WACHUKULIWE HATUA - MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote ambao wamechukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha zao...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Kuna Watanzania mamilioni mpaka leo hawajui kuwa Kituo Cha Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi dhidi ya Waziri wa Fedha na Mipango pamoja na Mwanasheria Mkuu (AG) kupinga tozo za miamala ya...
24 Reactions
53 Replies
3K Views
MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa...
28 Reactions
68 Replies
9K Views
Watanzania wengi ni watu wenye uelewa mdogo sana wa mambo. Kwa kutumia mwanya huo ndio maana CCM inaendelea kutawala nchi hii wanavyotaka. Unashangaa watu wengi wanamsifia sana Kikwete na kumuona...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tofauti na...
23 Reactions
103 Replies
13K Views
BARUA YA WAZI KWA MAWAZIRI WANNE WA TANZANIA: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Pindi Chana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Mhe. Nape Nnauye Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakuna ubishi kwamba Kwa sasa Tanzania kuna kila aina ya tozo kila kona.sina haja ya kuorodhesha hizo tozo zipo wapi na wapi Maana wote tunafahamu. Watu wengi wanamlaumu Rais MSSH. Lakini mimi...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…