BAVICHA Taifa
Senior Member
- Jul 25, 2013
- 117
- 662
Kuhusu adhabu iliyopewa chombo cha Habari cha Zama Mpya TVView attachment 2351659
Chama bora cha vijana AfrikaKuhusu adhabu iliyopewa chombo cha Habari cha Zama Mpya TVView attachment 2351659View attachment 2351660
Hawakuisha walipungua tuMadikteta kazini.
MEEN AMEENMungu ibariki Chadema
Wasitupyuu pyuu tu.Hawakuisha walipungua tu
Endelea kutukana ukisema ni uhuru..Uhuru tunaohubiriwq ni upi sasa?
uko mbali sanaZana ya habr hii Ni ipi mbna sielewi nin kimetokea had chadema kuijia juu serekali dhidi ya tcra
Uhuru wa maoni.Endelea kutukana ukisema ni uhuru..
Kimsingi mjinga hatakiwi kupewa uhuru..
Kakate rufaaUhuru wa maoni.
Uhuru wa kusikilizwa
Uhuru wa kukata rufaa
Uhuru wa.....
Kwa maoni yako kuna mtu maalum mwenye mamlaka ya kugawa/kuwapa watu uhuru?Endelea kutukana ukisema ni uhuru..
Kimsingi mjinga hatakiwi kupewa uhuru..
Yupo ambae ni tcra kama alivyopewa mamlaka na sheria na katibaKwa maoni yako kuna mtu maalum mwenye mamlaka ya kugawa/kuwapa watu uhuru?
Huyu mtu mamlaka haya kayapata kutoka wapi?
Na zaidi ya yote; ni yupi mjinga kati ya huyo anayenyima watu (wajinga) uhuru wao, na hao unaowaita wajinga ambayo huyo mwenye madaraka anatakiwa awaondolee ujinga wao kwa kuwaelimisha badala ya kuwanyima haki ya uhuru wao?
Kwa kuwa unamiliki nchi basi endeleaKakate rufaa
Kuna sehemu yoyote ndani ya katiba, au sheria yoyote inayoeleza kwamba wajinga wasiwe huru?Yupo ambae ni tcra kama alivyopewa mamlaka na sheria na katiba
Just by norm..Kuna sehemu yoyote ndani ya katiba, au sheria yoyote inayoeleza kwamba wajinga wasiwe huru?