Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,131
Kuna Watanzania mamilioni mpaka leo hawajui kuwa Kituo Cha Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi dhidi ya Waziri wa Fedha na Mipango pamoja na Mwanasheria Mkuu (AG) kupinga tozo za miamala ya kielektroniki ambayo imegusa maisha ya kila Mtanzania.
Watanzania hawa Diamond Platinum leo akitoa wimbo mpya ndani ya saa 12 tu viewers milioni 5.
Watanzania kufuatilia mambo yasiyo na msingi ni ishara kuwa akili za wengi ni finyu.
Kufuatilia mambo ya burudani sio kosa bali tatizo ni kuacha kujua mambo muhimu ya kitaifa yanayogusa maisha ya wengi na badala yake kihangaika na vitu vidogo vidogo.
Watanzania wengi wanakupangia safi ya wachezaji wa Yanga na Simba au Manchester united na Arsenal golikipa mpaka wale wachezaji wa ziada. Hao wanaokupangia safu hizi wengine hata cheti cha form 4 hawana.