Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata Mocrine Julius (Mazidi), mkazi wa Salasala kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kuwa amenusurika kutekwa na mtu...
1 Reactions
12 Replies
379 Views
CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika...
3 Reactions
7 Replies
223 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watendaji wa Ardhi kuacha tabia ya kutengeneza migogoro ya ardhi kila siku, akisema kuwa Serikali imechoshwa na malalamiko yanayojirudia kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa. Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima...
1 Reactions
29 Replies
377 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametaka Wakuu wa Vyombo vya Usalama Nchini wawajibishwe kutokana na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia katika vuguvugu la...
5 Reactions
9 Replies
279 Views
Hamjambo! 1. Kuna tabia ambazo Watanzania wengi wanazo ambazo zinazalisha upatikanaji wa viongozi wa ajabuajabu. 2. Nitakupa mfano WA baadhi ya tabia na fikra hizo; a) Watazania wengi...
5 Reactions
29 Replies
346 Views
Wakuu, Kwenye mapito ya maisha unaweza kupitia mambo mengi ukifikiri imetokea tu kumbe Mungu anakuandaa na nyakati ngumu. Muogope mtu ambaye aliandaliwa na Mungu kuvuka nyakati ngumu. Tunajua...
12 Reactions
12 Replies
313 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kitaanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake...
7 Reactions
7 Replies
262 Views
Somo kwa CCM: Unaweza kulazimisha kupata madaraka lakini sio kupata watu. kuajiri kwa kuhonga ajira, undugu, rushwa na wizi wa kura una mwisho wake. Tuna serikali na chama cha CCM ambacho...
6 Reactions
11 Replies
287 Views
Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya...
2 Reactions
58 Replies
841 Views
Kwa mujibu wa pew research center 41% ya Muslims wa tanzagiza wanasapoti sharia au wangependa sharia iwe sheria ya nchi vs 39 % ya Christians wangependa Biblia iwe sheria mama ya nchi i.e tuishi...
2 Reactions
13 Replies
301 Views
Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN? Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na...
22 Reactions
73 Replies
918 Views
  • Redirect
. Mwinyi atangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kutoka TZS 300,000 hadi TZS 500,000 Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kutoka TZS...
1 Reactions
Replies
Views
Amebakiza makunyanzi tu usoni. Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini Shetani hana...
9 Reactions
27 Replies
536 Views
CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda. Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche. Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha...
2 Reactions
7 Replies
327 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewataka Watumishi wa Serikali kuheshimu ajira zao mara wanapozipata na kuacha kutafuta visingizio vya kuhamishwa kutoka maeneo yao ya kazi, hususan mikoani...
1 Reactions
5 Replies
224 Views
  • Redirect
Hutuba ya ripot zio jambo la kushangaza sana mshangao uko hapa 182+90+80+53=518 Niacheni nachabganyikiwa
1 Reactions
Replies
Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Jasusi Kama taifa lina vyombo vya intelligence kulinda mipaka, uchumi na taasisi zake, basi familia nayo lazima iwe na intelligence ya kulinda maadili, uchumi...
1 Reactions
5 Replies
204 Views
china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja...
0 Reactions
2 Replies
168 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…