Rais wa Namibia ni bora Afrika mzima

Rais wa Namibia ni bora Afrika mzima

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,147
Reaction score
3,116
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa.

Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima rais basi Tanzania tungemchukua huyu mama ,yaani ni mzalendo. Tanzania ingekuwa kama marekani ndani ya miaka 5, mod naomba weka speech yake hapo watu waone
 
Uzi Bila picha ni batili

Ungetuwekea picha ili tumuone kama na yeye ana minyonyo au ni chuchu konzi
Nimeshindwa kuweka speech yake mkuu,kama unayo niwekee
 
Kama Marekani wana madeni,

Watakopa tena tu.
 
Swala sio madeni mkuu, huyo mama amesema hayo tayari kuwavumilia mawaziri walarushwa,wapiga dili
Halafu cream Yao ya juu ya uongozi wote ni wanawake kudadeki
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    12 KB · Views: 12
Bi-mkubwa sura yake tu imekaa kikauzu kauzu yaani ukiwa raia wa Nchi yake Au mtumishi kwenye taasisi zao lazima uogope kula rushwa Kila unapo ikumbuka sura ya raisi 🤣🤣
 

Attachments

  • Netumbo_Nandi-Ndaitwah_2025.jpg
    Netumbo_Nandi-Ndaitwah_2025.jpg
    111.4 KB · Views: 15
Dahhh bado binti kabisa huyu...😋
 
Tuelekeze vizuri deni lilikuwa ni pesa ngapi? Na deni la tangu lini.. na amelilipaje?

Tanzania haiwezi na haitoweza na kukaribia hata thumni kulipa deni letu la taifa , kutokana na aina ya viongozi tuliokuwa nao

Kiongozi anamiliki gari la million 200-500 na ni amepewa na serikali, hapo na unakuta kuna kijiji hakina zahanati inauogharimu milion 50 tu ambapo wajawazito na watoto , raia kiujumla wataweza kupata huduma ya Afya

Subirini kwanza.. kichwa kinauma
 
Bi-mkubwa sura yake tu imekaa kikauzu kauzu yaani ukiwa raia wa Nchi yake Au mtumishi kwenye taasisi zao lazima uogope kula rushwa Kila unapo ikumbuka sura ya raisi
Na ndo kama wanakawaida ya kuweka picha ya raisi maofisini kama huku, Watumishi wao watakua wanatetemeka kuanzia asubuhi mpaka jioni.
 
Na ndo kama wanakawaida ya kuweka picha ya raisi maofisini kama huku, Watumishi wao watakua wanatetemeka kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Full kujamba Jamba kaka 🤣🤣

Yaani hapo rushwa hauli bad enough nasikia kawapiga beat viongozi wote wa serikali kuwa hato nvumilia mla rushwa yoyote so Kwa hiyo sura lazima uogope
 
huku kwetu wanafungua milango na kutuletea barbaria uncivilized low iq somalis ...
 
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa . Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima rais basi Tanzania tungemchukua huyu mama ,yaani ni mzalendo. Tanzania ingekuwa kama marekani ndani ya miaka 5, mod naomba weka speech yake hapo watu waone
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa .

Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima rais basi Tanzania tungemchukua huyu mama ,yaani ni mzalendo. Tanzania ingekuwa kama marekani ndani ya miaka 5, mod naomba weka speech yake hapo watu waone
Kusema kweli huyu mwanamke anajtahidi. Wanamibia wanasema wanamuamini na nchi yao na wamempa uhuru wa kutawala anavyopenda.
 
Full kujamba Jamba kaka

Yaani hapo rushwa hauli bad enough nasikia kawapiga beat viongozi wote wa serikali kuwa hato nvumilia mla rushwa yoyote so Kwa hiyo sura lazima uogope
Huyo kama angekua bongo basi baba yake mkurya mama yake mnakyusa
 
Shule Ipo kichwani

Njoo Nchi ya Malawi Sasa !! 🤣🤣😁🙌
Malawi kwa mzee wa Takwimu. Huko kila hotuba lazima achapie ...sijui anakuwaga na ya kwake. Lazima achanganye namba tu😆
 
Back
Top Bottom