Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yupo kada wa CCM anapita majumbani mwa watu na kudai anachangisha pesa ya vibao vya namba za nyumba na mtaa shilingi 7500 limekaaje. Tunaomba ufafanuzi toka kwa waziri Nape na CCM ikiwemo hili si...
1 Reactions
3 Replies
605 Views
Ama kwa hakika Kenya wamepiga hatua kubwa sana. Kwetu wastaafu hawataki kustaafu na wanalazimisha watoto kuja kutawala. Nini tofauti yetu na Kenya? Kupi kufanana kwetu na Uganda, Burundi au...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Mjadala mkali kabisa ktk kituo cha televisheni cha ITV Tanzania ====== Katika mjadala mpana na wa wazi wadau waonesha wasiwasi kuhusu serikali kutochukua hatua za haraka kupata ufumbuzi wa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Badala ya kukasirika na kuvimba kwa nitakachokiandika,j ipe muda kwanza wa kuyatafakari maneno yangu kabla ya kunihukumu na pengine kutukana n.k. Tukirudi kwenye mada, hivi wewe mwafrika...
18 Reactions
197 Replies
17K Views
Wanabodi Nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya maeneo ya Vijijini, deep interior, nikashangaa sana kukuta Barabara za lami hadi Vijijini. Kuulizia nikaelezwa ni kazi nzuri ya Wakala wa Barabara...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi...
1 Reactions
0 Replies
534 Views
Habari Watanzania, Katika miezi kadhaa sasa, kuna jambo limekuwa likijirudia sana. Jambo hili ni ZITO sana na wala si la kuchukulia mzaha hata kidogo. Jambo lenyewe ni hili: Mfumo wa TRA, hasa...
20 Reactions
51 Replies
4K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ni miongoni mwa viongozi walioshiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Magu. Kikao...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Nimetonywa kwamba kuna kundi la wana ccm liliokaliwa kooni kwenye utawala wa awamu ya tano limeumizwa mno na kifo cha mwendazake maana walitaka asitaafu 2025 alafu ndiyo waanze kumnanga mbele ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Bahati mbaya sana swala hili haliwezekani kutokea maana Rais Julius Nyerere hayuko tena duniani. Binafsi ninavutiwa sana na hawa wanasiasa wawili wote ni watu wenye ufahamu mkubwa juu ya maswala...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dares Salaam tarehe 11 Septemba...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Yaani shukuruni tu hiyo bahati haikuniangukia mimi Ningekua rais wa JMT team mwendazake wote na lile genge ningewasweka ndani, wengine kizuizuni na wengine mngepotea mazima Miaka 6 ya yule mtu...
40 Reactions
214 Replies
58K Views
Mwenyezi Mungu awabariki wote. Kiukweli ameirithi nchi ikiwa katika Hali mbaya sana, pia Dunia ikiwa KWENYE Hali ngumu sana kiuchumi kutokana na COVID-19. Mama au mwanamke huyu kuliongoza taifa...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Mbunge wa Bumbuli January Makamba alikuwa Waziri wa Mazingira katika serikali ya awamu ya 5 kwa miaka minne mpaka alipotenguliwa mwaka 2019. Inasemekana January Makamba kwa kuwa alikuwa Waziri wa...
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Hana skendo yoyote na ana ushawishi mkubwa ana maadili Sana. Je, kwa mfano akiamua kugombea urais atashindwa kweli?
1 Reactions
20 Replies
1K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha nishani mmoja wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, wanaomaliza muda wao wa Kazi Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Senyamule amesema Rais Samia ameamua kutenda haki katika utawala wake hivyo watanzania muwe na amani. Senyamule amesema ndiyo sababu Rais Samia amewezesha kujenga jengo...
0 Reactions
2 Replies
487 Views
Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi, chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake...
3 Reactions
1 Replies
881 Views
Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu...
0 Reactions
4 Replies
551 Views
Haitoshi tu kwa chama Kikuu cha upinzani Chadema kuishambulia Serikali ya CCM kuhusu Tozo na mikakati mingine ya kuikabili hali hii ngumu ya Dunia Nyie Chadema mngefanya nini iwapo mngekuwa...
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…