Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Badala ya kukasirika na kuvimba kwa nitakachokiandika,j ipe muda kwanza wa kuyatafakari maneno yangu kabla ya kunihukumu na pengine kutukana n.k.
Tukirudi kwenye mada, hivi wewe mwafrika mwenzangu una amini kweli sisi waafrika tulipaswa kuishi katika hii sayari?
Mnyama, kwa mfano, ana kitu kinaitwa "adaptation" kinachomwezesha kuyakabili na kuyamudu mazingira anayoishi. Je, unafikiri sisi Waafrika tunayamudu na kuyatawala mazingira tunayoishi ili tuishi vizuri kama viumbe wengine bila msaada wa watu weupe?
Tutambue kwa wanyama, Mnyama akiweza kupata chakula, akapambana na magonjwa, hali ya hewa na mazingira yanayomzunguka kwa ujumla, inatosha kabisa kusema anamudu mazingira yake mradi tu anaweza ku-survive katika mazingira hayo ya asili.
Lakini, j e na wewe binadamu hali ni hiyo?Bila shaka jibu ni hapana kwani binadamu anahitaji kutumia akili na maarifa kubuni na kutengeneza vitu na dhana mbalimbali: vifaa vya mahosipitalini, madawa, mitambo, makazi, zana za ujenzi,vyombo vya usafiri, n.k ili aweze kuishi katika hii sayari au kuyafanya mazingira ya hii sayari kuwa rafiki kwa yeye kuishi.
Sasa hebu turudi kidogo kwenye historia. Historia inatufundisha kuwa watu kutoka mabara mengine: wazungu,waarabu, n.k, walikuja Afrika kutafuta maliasili kwa ajili ya viwanda vyao huko ulaya na pia kutafuta masoko kwa ajili ya bidhaa wanazozalisha huko Ulaya na kwingineko.
Maswali ya kujiulizi:
Sisi Waafrika tuligundua kuwa tuna hizi maliasili kabla ya ujio wa hawa wageni kutoka mabara mengine?
Kama tulikuwa hatujui umuhimu wala thamani ya hivi vitu,je unaamini viliumbwa kwa ajili yetu?
Kama kweli viliumbwa kwa ajili yetu, inakuwaje hata tu uwezo na maarifa ya kutambua kuwa hii ni maliasili muhimu inakuwa ni tatizo?
Kingine cha kujiuliza,kama kweli hizi maliasili ziliumbwa na mungu(nature) kwa ajili ya mtu mweusi, inakuwaje mungu huyo huyo atunyime sisi Waafrika uwezo wa kuwa na teknolojia ya ku-process maliasili hizi na badala yake uwezo huo akawapa tu watu kutoka mabara mengine?
Je,huu si ushahidi kuwa sisi tuko katika hii sayari kimakosa tu na wala hatukusatahili?
Kama tulistahili kuishi katika hii dunia na wakati huo huo tumenyimwa maarifa (teknolojia n.k),j e huu si ushahidi kuwa ilipangwa tutawaliwe na watu wengine wenye maarifa kutuzidi?Je,huu si ushahidi kuwa hata ukoloni ulikuwa ni mpango wa mungu(nguvu za asili)?
Uongozi na kujitawala
Ukiangali asili ya mwafrika kujitawala,utagundua tuliumbiwa kujitawala katika ngazi za koo au makabila tu na si kwa ngazi ya leo hii kinachoitwa nchii au Mataifa ya kiafrika.Kabla ya ujio wa Wakoloni hatukuwa na kitu kinachoitwa Tanganyika, Uganda,Zimbabwe, n.k na ndio maana mpaka leo hii Waafrika demokrasia kwa ya kujitawala wenyewe imetushinda.Haya mambo tumelazimishwa tu tulistahili kutawaliwa na machifu na wafalme tu wa makabila yetu.
Maradhi
Inakuwaje sisi Waafrika tuletwe katika hii dunia yenye maradhi mengi ili hali hatukupewa uwezo wa kukabilana na maradhi haya kama kweli tulitakiwa kuishi katika hii sayari?Kuna dawa gani ya asili leo hii inayoweza kutibu ugonjwa kama kipindupindu?Matibabu ya upasuaji bila wageni tungeyaweza wapi?
Kitu kingine.Jiulize ni kwanini samaki anaweza kuishi baharini tu na si nchi kavu na ni kwanini wewe huwezi kuishi baharini bali nchi kavu tu? Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira tunayoishi na uwezo wa kuyatumia/kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi.
Hiyo ni mifano michache tu ila swali kubwa na la muhimu hapa ni kuwa, kama Waafrika tulipangiwa kuishi katika hii sayari, ni kwanini basi tumenyimwa uwezo wa kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi katika hii sayari bila msaada wa watu kutoka mabara mengine?
Binafsi nina majibu mawili hapa:
Mosi,.hii sayari haikuumbiwa mtu mweusi na pengine tuliletwa hapa duniani kimakosa tu ila kuna sayari ambayo ilitufaa sisi watu weusi isiyo na changamoto hizi ambazo bila wageni tusingeweza hata kuishi.
Pili, kama sisi Waafrika tuliletwa ili tuishi katika hii dunia,basi ni mpango wa mungu(nature) tuishi kwa kutegemea uwepo wa watu wengine na ndio maana mpaka leo hii bado wanatutawala na wataendelea kututawala tu kwa miaka mingi.
Vile vile huenda ilipangwa kuwa tutatawaliwa na kuongozwa na wageni kutoka nje ya bara la Afrika mpaka pale tutakapoweza kujitegemea mithili ya mtoto mdogo anavyolelewa na mzazi wake mpaka aje apate akili na uwezo wa kujitegemea.