Wanatamani angesitaafu ili wamnange mbele ya macho yake

Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
1,363
2,372
Nimetonywa kwamba kuna kundi la wana ccm liliokaliwa kooni kwenye utawala wa awamu ya tano limeumizwa mno na kifo cha mwendazake maana walitaka asitaafu 2025 alafu ndiyo waanze kumnanga mbele ya macho yake akiwa hana nguvu ya kuwafanya lolote.
Wanaopotosha sasa hivi deni la taifa ,ujenzi wa SGR , ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la umeme wangefurahi mno kama wangepotosha mbele ya macho ya mwanzilishi wa hivyo vitu
 
Wewe huaminiki Wala kueleweka, zaidi nakuweka kundi la wanaa na wale wakuangalia maslahi binafsi zaidi na mwanachukua chako mapema(ccm).
 
mod's kama itawapendeza ziondoeni thread zote za sukuma gang maana wanatusumbua bure.
Kwa maana ya uhuru wa habari na maoni, nijambo jema wakatoa maoni Yao, ila pia wawe tayari kutwishwa vitu vizito kwenye bichwa zao, kwani bado wanawaza kuwa wadanganyika ni WA mwaka 47 na wote ni wanufaika wa ubaguzi na ubabe wa awamu Yao pendwa.Ambayo imewaachia hangover hadi Leo.
 
Unapoteza muda bure
 
Ila huu Mradi wa sgr umetutia madeni. Halafu mradi ukikamilika utatutia madeni zaidi. Pia ramani ya mradi imekosewa. Reli ya sgr inatakiwa iende sehemu ya mizigo mingi. Na mizigo mingi ni shaba ya Zambia , na madini ya cobalt na shaba yaliyopo Lubumbashi/kolwezi/katanga Drc Congo. Sasa hii reli naona imepotea uelekeo wa mizigo mingi mno kwa hiyo haitarudisha hela. Kwa hiyo ni madeni juu ya madeni halafu riba. Mizigo mingi ipo kusini kwa Congo na Zambia. Halafu reli inaelekea mashariki mwa Congo, tumepotea
 
Umelazimishwa nenda ukaufute
 
Hivi hizi elimu mnazo pewa robo robo haziwafungui brain eeeh? Kwa iyo Reli ya Tazara ilikuwa inatoka wapi inakwenda wapi? Na ilijengwa kwa kiwango karibu nusu ya ubora wa SGR izo Copper Na sijui blabla gani zinapitia wapi?
 
Nimetonywa kwamba kuna kundi la wana ccm liliokaliwa kooni kwenye utawala wa awamu ya tano limeumizwa mno na kifo cha mwendazake maana walitaka asitaafu 2025 alafu ndiyo waanze kumnanga mbele ya macho yake akiwa hana nguvu ya kuwafanya lolote.
Wanaopotosha sasa hivi deni la taifa ,ujenzi wa SGR , ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la umeme wangefurahi mno kama wangepotosha mbele ya macho ya mwanzilishi wa hivyo vitu
SUKUMA GANG NI WAPUMBAVU SANA
 
Back
Top Bottom