Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 546
- 479
Mwenyezi Mungu awabariki wote.
Kiukweli ameirithi nchi ikiwa katika Hali mbaya sana, pia Dunia ikiwa KWENYE Hali ngumu sana kiuchumi kutokana na COVID-19.
Mama au mwanamke huyu kuliongoza taifa letu Hadi Sasa kufikia hapa ni uwezo mkubwa sana.
Madhara/ matokeo ya uongozi wa awamu ya Tano kiuchumi, kidemokrasia na kidiplomasia bado utaliathiri taifa hili Kwa kipindi Cha zaidi ya miaka 20 ijayo tusipochukua juhudi za makusudi kurekebisha na mama Hilo liko mikononi mwako.
Ninaunga mkono tozo lkn kuwe na ufafanuzi unaoeleweka Kwa wananchi kuhusu faida au miradi inayojengwa na tozo hizi.
Ninaamini mama una Nia njema KWENYE jambo hili lkn kuwa makini na watendaji WAKO wanaweza wakafanya hovyo na hatutakuwa na WA kumlaumu zaidi Yako.
SI vibaya mkirekebisha baadhi ya mambo kadhaa kuhusu tozo. Mama yetu Hali ni ngumu korona imeathiri vipato vyetu sisi wananchi WAKO.
Wachache wanaolia kuhusu tozo usiwapuuze ni wananchi WAKO, pengine Kuna umuhimu.
Tuitungie TOZO Sheria Ili kuilinda. Isiishie kesho baada ya wewe kupumzika uongozi 2030.
Ninakubali kabisa kwamba muundo na utaratibu wa TOZO ukipangiliwa vyema utaleta mafanikio makubwa sana Kwa taifa letu.
Niomba radhi kama nimekukwaza na kuwakwaza viongozi wangu.
MUNGU MBARIKI RAISI WETU, MUNGU IBARIKI SERIKALI NA TANZANIA, MUNGU WABARIKI HATA WALE WAPINGAJI WETU WAKUU WAJALIE MAISHA MAREFU ILI WAYASHUHUDIE MAFANIKIO YA MAMA, CCM NA TOZO HIZI WANAZOPINGA BILA HOJA.
NIBARIKI NA MM AFYA TELE ILI NIENDELEE KUWAELIMISHA WACHACHE WALIOACHWA NYUMA WASIOONA JUHUDI KUBWA ZA MAMA YETU KWA TAIFA LETU.