Ikulu Zanzibar

Ikulu Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha nishani mmoja wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, wanaomaliza muda wao wa Kazi Zanzibar wa kutowa huduma za matibabu katika Hospitali za Unguja na Pemba, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, kwa ajili ya kumuaga
IMG-20220910-WA0054.jpg
 
Back
Top Bottom