Tundu Lissu kuhutubia Taifa 7/9/2022

Tundu Lissu kuhutubia Taifa 7/9/2022

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,385
Reaction score
289,502
ELIAH_NGASE%F0%9F%85%B0_on_Instagram%3A_%E2%80%9CNiyeye!!!!%E2%80%9D%22_.jpg

Hii ndio taarifa ya dharula iliyosambazwa kwa Wananchi wote na chama chake , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Tundu Lissu, Mgombea Urais wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2020, ambaye hotuba zake za kampeni (ZILIZOITWA SPANA) zimetajwa na dunia kusababisha Magonjwa ya Moyo kwa wana CCM, na huku wengine wakipoteza maisha. Leo Saa tatu (3:00) Usiku kwa saa za Tanzania ATAHUTUBIA TAIFA, hotuba ambayo itarushwa moja kwa moja kwenye mitandao yote ya kijamii Duniani.

Ikumbukwe kwamba siku kama ya leo mwaka 2017 , huko Dodoma kwenye majengo ya Mawaziri na wabunge , Lissu alishambuliwa na kikosi maalum kwa lundo la risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua , hasa baada ya hoja zake za kupinga udikteta kukosa majibu kwenye Majukwaa ya Kisiasa.

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Leo Lissu bado angali hai na mwenye afya na nguvu.

Ngoja tujiandae kumsikiliza.
 
View attachment 2349126

Hii ndio taarifa ya dharula iliyosambazwa kwa Wananchi wote na chama chake , kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , Mgombea Urais wa Chadema kwenye uchaguzi wa 2020 , ambaye hotuba zake za kampeni ( ZILIZOITWA SPANA ) zimetajwa na dunia kusababisha Magonjwa ya Moyo kwa wanaccm , na huku wengine wakipoteza maisha , Leo Saa mbili (2:00) Usiku kwa saa za Tanzania ATAHUTUBIA TAIFA , hotuba ambayo itarushwa moja kwa moja kwenye mitandao yote ya kijamii Duniani .

Ikumbukwe kwamba siku kama ya leo mwaka 2017 , huko Dodoma kwenye majengo ya Mawaziri na wabunge , Lissu alishambuliwa na kikosi maalum kwa lundo la risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua , hasa baada ya hoja zake za kupinga udikteta kukosa majibu kwenye Majukwaa ya Kisiasa .

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Leo Lissu bado angali hai na mwenye afya na nguvu .

Ngoja tujiandae kumsikiliza .
Mungu ni mwema Kila wakati,hata P na Jo wanakiri hili Kwa vinywa vyao🤔
 
Hilo ni lihuni tu, anahutubia taifa gani? Labda Sudan
 
Mitandao ya kijamii ipi?
 
Back
Top Bottom