Mahakama yakana kuendeshwa na DPP kesi ya Sabaya

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,043
Kesi namba 2 ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkali Lengai Ole Sabaya imetajwa tena leo katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi mbele ya hakimu mfawidhi Salome Mshasha ambapo hoja mbalimbali zimeibuliwa ikiwemo ya DPP kuendesha mahakama kama anavyotaka yeye.

Hoja hiyo imeibuliwa na wakili wa upande wa utetezi Helen Mahuna akisema upelezi kutokamilika ikiwa mwanzzo walisema umeshakamilika hoja ambayo imepingwa na jamhuri wakisema si kweli badala yake anafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria.

Aidha hakimu Salome Mshasha amesema mahakama haiendeshwi na DPP bali inaendeshwa na hakimu na majaji pekee.

Wakili wa Utetezi katika kesi ya Sabaya Helen Mahuna amesema kuachiliwa kwa washtakiwa wengine wanne wakiokua katika kesi moja ya uhujumu namba 2 ya mwaka 2022 hawakushirikishwa kama wanasheria wao.

Amesema mkurugenzi wa mashtaka nchini DPP amekua akifanya anavyojisikia yeye jambo ambalo limekua likikwamisha kesi hiyo kuanza kusikilizwa ili mshtakiwa apate haki yake ya kujua hatma ya kesi hiyo.

Wameanza malalamiko na wao? Kwa hiyo wamegundua kuwa Mahakama haziko huru?
 
Wamenza kulia lia wenye nchi hawa wazalendo wanalia nini sasa.
 
Kwa hizi ngonjera ni suala la muda tu Sabaya atakuwa kwa mama yeyoo anakunywa loshoroo na ngiderii.
 
Back
Top Bottom