Kwako Wizara ya Nishati,
Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA -
Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye...
Nmeweka Makala ya Mwisho ya kaka yangu mpendwa Mohamed Mtoi hapa Jamii Forum kama kumbukumbu pale alipoongea na wanachama wa Chadema wanafunzi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa...
Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema
"SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA...
Huyu ametokea Mkoa wa Morogoro , Mkoa ambao kwa miaka mingi umeongoza kwa unyama dhidi ya viongozi wa Chadema , Matei hata kabla ya uchunguzi alijiropokea mbele ya waandishi wa habari kwamba...
Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza...
Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka...
Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa
Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa...
Nimefuatilia kwa ukaribu leo mahojiano ya ana kwa ana ya vijana wengi wa Nchini Kenya, kuhusu matarajio yao dhidi ya Rais William Ruto. Katika mahojiano yao wengi kwa idadi wamekwenda uwanjani kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe...
Wapendwa Ndugu zangu wa JF salaam...
Baada ya salamu naomba niombe radhi kwa kutoleta Mrejesho wa yule RTO anayehujumu Mapato ya Serikali, hili ni kutokana na kuwa Nje ya Mkoa wa Dodoma na kupata...
Ingelikuwa siyo Katiba Bora, Rutto urais angeliusikia kwenye radio na TV maana kwa Katiba ya Akina Moi , Kibaki, etc, Uhuru angelipanga Safu ya kuiba kura kwa niaba ya Raila na Safu hiyo...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto...
Viongozi wetu hawana nia ya kulipa kodi kama inavyostahili. Ili kukwepa kulipa stahiki yao kamili ya kodi, sehemu kubwa zaidi ya mapato yao wameiita "posho."
Kwenye orodha ya wakwepa kodi hao...
Katika kitu kinachonishangaza ni kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato lakini ukiangalia bado maelezo ya matumizi yake tunajibiwa kirahisi mno. Ningependa kujua ni kiasi gani tunachokipata kwenye hivi...
Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania...
Chama cha Rais mteule Nchini Kenya Dkt. William Ruto cha United Democratic Alliance, - #UDA kimeahidi kufuata Mfumo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kuliongoza Taifa la #Kenya, Mwenyekiti wa...
Musoma, Tanzania
Waziri Mwigulu Nchemba apigwa maswali mazito na wananchi mkoani Mara
Wakaazi wa Sirari Rorya wasema wanamtambua vizuri hata mawe na majabali ya (mawe) kote nchini yaandikwa...
Huyu anayejiita Dkt wa uchumi hivi haya anayo yafanya ni kweli Anayafanya kwa manufaa ya taifa ? Au na yeye pia jicho lake liko kwenye mwaka wa 2025.
Make ukichunguza utaona Kama vile...
Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali...
- Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema.
- Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji...