Kwa wale mliosoma Cuba hili la Mwigulu limekaaje?

Mukua

Senior Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
157
Reaction score
203
Huyu anayejiita Dkt wa uchumi hivi haya anayo yafanya ni kweli Anayafanya kwa manufaa ya taifa ? Au na yeye pia jicho lake liko kwenye mwaka wa 2025.

Make ukichunguza utaona Kama vile anaichonganisha Serikali na wananchi, yeye kila kukicha ni tozo tozo, tozo, hata Kama mamlaka zikimuelekeza kufanya mabadilko Wala ndo Kwanza anabuni tozo za kulipia chumba chako kwenye nyumba yako.

Huyu bila Shaka yuko pamoja na yule jamaa aliyetumbuliwa kutoka kwenye ule mhimili wa kutunga Sheria kwa kuangalia 2025.

Mliosoma Cuba hebu mtujuze kwa hili limekaaje.
 
Iko hivi, ukiwa CCM inabidi hata kama uko bright 🌞 Kiasi gani inabidi uache kutumia akili zako kwanza Hadi siku ukiwa nje ya CCM au system. Kwa mfano, Kigwangala wa miaka ile akikutana na huyu wa sasa watashangaana. Au Nape wa two years ago na huyu wa sasa....au Kitila Mkumbo etc
 
Mimi naona kama hizo PhD za chuo chetu pendwa zina walakini, ni kama vile watu wanaenda kuzidisha ujinga

Tafiti zifanyike, pengine sasa ubora wa chuo utazamwe kwa kuangalia performance ya graduate wake, au

Pengine chuo kifanye maamuzi wagumu ya kuwanyan'ganya hizo awards watu wapuuzi wa namna hii.

Kama mtu mwenye PhD ndiyo anatuletea suluhisho la kiuchumi la kijinga namna hiii, je mwenye bachelor's degee si tutakufa kabisa?

Huyu anaye jiita Dr wa uchumi hivi haya anayo yafanya ni kweli Ana yafanya kwa manufaa ya taifa ? Au na yeye pia jicho lake liko kwenye mwaka wa 2025.
Make ukichunguza utaona Kama vile anaichonganisha serikali na wananchi, yeye Kila kukicha ni tozo tozo, tozo, hata Kama mamlaka zikimuelekeza kufanya mabadilko Wala ndo Kwanza anabuni tozo za kulipia chumba chako kwenye nyumba yako.
Huyu bila Shaka yuko pamoja na yule jamaa aliye tumbuliwa kutoka kwenye ule mhimili wa kutunga Sheria kwa kuangalia 2025.
Mlio Soma Cuba hebu mtujuze kwa hili lime kaaje.
Tatizo waswahili hatupendi ukweli. Unawezaje kuendesha Serikali bila kodi/ tozo? Haya Serikali imesema inapitia ili kupunguza makali bado mnalia Lia. Mnataka Nchi ya Tozo Free. Haipo duniani hata Roma kwa Papa kina Tozo japo ni indirect kupitia sadaka na zaka
 
Elimu inaishia degree izo zingine ni kutafuta title

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo waswahili hatupendi ukweli. Unawezaje kuendesha Serikali bila kodi/ tozo? Haya Serikali imesema inapitia ili kupunguza makali bado mnalia Lia. Mnataka Nchi ya Tozo Free. Haipo duniani hata Roma kwa Papa kina Tozo japo ni indirect kupitia sadaka na zaka
Mkuu, mbona siku uzi hatusikii vyanzo vya mapato mengine kama madini, uvuvi, utalii?

Kwa hali inayoendelea sasa ivi, tozo imekuwa ndio chanzo kikuu cha mapato ya nchi! hii ni hatari.

Nilidhani pamoja na kutoza, kungekuwa na jituhada nyingine mahususi za kuboresha vyanzo vingine vya mapato, hasa madini, matumizi ya bahari na maziwa, etc.

Tozo inawaumiza sana wananchi, nadhani kwakuwa rate ya tozo imekuwa too big than actual income ya wananchi!

Ukiangalia sasa concentration ya ukusanyaji wa kodi imeegemea sana kwenye tozo as if Taifa halina vyanzo vingine muhim vya mapato!
 
Iko hivi, ukiwa CCM inabidi hata kama uko bright [emoji274] Kiasi gani inabidi uache kutumia akili zako kwanza Hadi siku ukiwa nje ya CCM au system. Kwa mfano, Kigwangala wa miaka ile akikutana na huyu wa sasa watashangaana. Au Nape wa two years ago na huyu wa sasa....au Kitila Mkumbo etc
Wanaweza wakakimbiana
 
Kila utawala una makonda wake, mwigulu ni makonda wa mama mtapiga kelele lkn ndio roho ya bi sa100
 
Tatizo waswahili hatupendi ukweli. Unawezaje kuendesha Serikali bila kodi/ tozo? Haya Serikali imesema inapitia ili kupunguza makali bado mnalia Lia. Mnataka Nchi ya Tozo Free. Haipo duniani hata Roma kwa Papa kina Tozo japo ni indirect kupitia sadaka na zaka
Multiple and double taxn ni hatari huleta umasikini katika jamii na husababisha biashara zingine kufa na kukosa kodi muhimu in the longrun, kwa hizo tozo ni ujinga sio kodi kabisa
 
Huyu anaye jiita Dr wa uchumi hivi haya anayo yafanya ni kweli Ana yafanya kwa manufaa ya taifa ? Au na yeye pia jicho lake liko kwenye mwaka wa 2025.
Make ukichunguza utaona Kama vile anaichonganisha serikali na wananchi, yeye Kila kukicha ni tozo tozo, tozo, hata Kama mamlaka zikimuelekeza kufanya mabadilko Wala ndo Kwanza anabuni tozo za kulipia chumba chako kwenye nyumba yako.
Huyu bila Shaka yuko pamoja na yule jamaa aliye tumbuliwa kutoka kwenye ule mhimili wa kutunga Sheria kwa kuangalia 2025.
Mlio Soma Cuba hebu mtujuze kwa hili lime kaaje.
Tunakosea kumlaumi mtu mmoja. Huyi bwana ilipanga hesabu na watu wake akazipeka kwenye baraza la mawaziri. Baraza zima chini ya SSH zikazipitisha na ndiyo sirikari. Tulaumu serikari.
Hatuna haja ya kulaumu bunge (tunaelewa wanavyofanya).
 
Mimi naona kama hizo PhD za chuo chetu pendwa zina walakini, ni kama vile watu wanaenda kuzidisha ujinga

Tafiti zifanyike, pengine sasa ubora wa chuo utazamwe kwa kuangalia performance ya graduate wake, au

Pengine chuo kifanye maamuzi wagumu ya kuwanyan'ganya hizo awards watu wapuuzi wa namna hii.

Kama mtu mwenye PhD ndiyo anatuletea suluhisho la kiuchumi la kijinga namna hiii, je mwenye bachelor's degee si tutakufa kabisa?

Sijawahi kuona mwendawazimu wa chuo cha Diplomasia, Mzumbe ,MoCU, SAUT , wengi ni wa jalalani, sijui kwanini
 
ko hivi, ukiwa CCM inabidi hata kama uko bright 🌞 Kiasi gani inabidi uache kutumia akili zako kwanza Hadi siku ukiwa nje ya CCM au system. Kwa mfano, Kigwangala wa miaka ile akikutana na huyu wa sasa watashangaana. Au Nape wa two years ago na huyu wa sasa....au Kitila Mkumbo etc
Nimecheka mno hili mkuuu 🤣
🤣 🤣
 
Tatizo waswahili hatupendi ukweli. Unawezaje kuendesha Serikali bila kodi/ tozo? Haya Serikali imesema inapitia ili kupunguza makali bado mnalia Lia. Mnataka Nchi ya Tozo Free. Haipo duniani hata Roma kwa Papa kina Tozo japo ni indirect kupitia sadaka na zaka
hebu fikiria, tumtumie mtumishi wa kawaida wa serikali kama case study, ana miaka 7 inakwenda wa 8 hana ongezeko la mshahara ambao uko kisheria. unamkata kodi ya paye kabla hata hajapokea huo mshahara. ukishakata unawekwa benki, mtumishi anapokwenda kuuchukua anakatwa kodi ( 18% ya vat ya makato ya benki) hiyo haitoshi unamkata tozo tena ya muamala huo huo. huu si wizi. umewahi kuona jambo moja linakatwa kodi 2 tena kwa mtu ambaye umemkandamiza kwa kutompa haki yake kwa miaka 7.
tumia akili kwenye hili.
 
Back
Top Bottom