Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam. Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe. Haya...
6 Reactions
68 Replies
4K Views
Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi...
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi. Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha...
0 Reactions
8 Replies
997 Views
Tanzania hakuna upinzani tuna watu na maslah yao tu? Mbowe ni mpinzani?Hapana Zitto ni mpinzani?Hapana Hawa wote wana maslahi ndani ya ccm uhusiano wa mbowe na ccm una mizizi mingi miradi...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Na Rais Samia Suluhu Hassan Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia kila ifikapo tarehe 15 Septemba, ya kila mwaka...
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Kwa mjibu wa gazeti la Mwananchi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi bwana Martin Lumbanga hadi wa leo hii anazungushwa kulipwa haki zake.
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Rais wetu wa Tanzania nakuomba uwaangalie hawa mawaziri kama wana nia na matarajio yako ya mbeleni au wana yao na wanajipanga kivyao maana wao kwania zao sioni wakikusaidia kwa dhati kutoka kwenye...
2 Reactions
4 Replies
645 Views
Bungeni Dodoma Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022)...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwigulu, nape na Makamba ni mawaziri mizigo kwa nchi yetu wanapaswa kuondolewa haraka sana Wewe mwigulu ni wa kutujazia matozo kila mahali kweli??Mwigulu ni wewe wa kuitumbukiza hii nchi shimoni...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Juzi kati nilipita maeneo ya kawe nikashuhudia majengo ya maghorofa yakiwa magofu yakionyesha hali ya kutelekezwa, kuulizia nikaambiwa ni majengo ya NHC. Hivi ni kwa nini pesa za umma zitumike...
0 Reactions
5 Replies
728 Views
Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudumisha diplomasiano na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya pia Rais Samia Suluhu amezungumza na Rais Mteule wa Kenya, William Ruto na wameafiki kukuza...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nyingine, baada ya askari wake kutuhumiwa kusababisha kifo cha Ulirki Sabas (47), Mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Tangu JPM alipongia madarakani kuna mambo mengi sana yasiyofaa yamefanyika in the name of uzalendo. Mauzauza yote waliyofanyiwa wenye pesa yalipewa baraka za in the name ofa uzalendo. Mishahara...
3 Reactions
2 Replies
542 Views
Tumetoka kwenye tanuru la mauti. Asante bwana Mungu kwa wema wako. Msikilize "Mungu" wa Dunia wa 2015- 2021
7 Reactions
75 Replies
3K Views
Wengi wanaamini Utawala wa nchi Jirani utakuwa kama ule wa Mwamba wa East Africa Shujaa Magufuli lakini siyo. Serikali ya Wanyonge ya Shujaa Magufuli ni tofauti kabisa na hii bottom up ya Dr...
1 Reactions
0 Replies
590 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa chanzo cha Maji Butimba Ujenzi wenye kiasi cha Shilling Bilion 69.3. Katika...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Walikuwa wanakuja na Jiwe kubwa waliloliita " Fatuma" na walitumia kubomolea mlango wa mbele Tofauti yao na Panyaroad ni Hiyo Fatuma tu mengine yote wanafanana Mungu wa mbinguni atulinde!
3 Reactions
7 Replies
908 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…