Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Members, Hili ni swali ambalo linaangazia uchumi halisi wa watu binafsi kwenye mitaa yaani uwezo wa Mtu mmoja mmoja kumudu maisha yake ya kila siku (Micro enonomics) kutoka oktoba mwaka 2020 mpaka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi, Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali...
9 Reactions
82 Replies
6K Views
KALAMU YA Samson Mwigamba Zitto ajiandae kupambana na Maalim Seif, hana hadhi ya kupambana na JPM QURAN Tukufu inasema alama za mnafiki ni tatu. Kwanza, akisema hasemi ukweli. Pili, akiaminiwa...
30 Reactions
114 Replies
11K Views
Jiulize ni Wagonjwa Wangapi wanakufa hospital kila Siku kwa kukosa dawa na vifaa tiba kwa sababu tu kuna wanasiasa Fulani wanaiba kodi zetu kwa kutumia kalamu Je si Afadhali huyu panyaroad...
1 Reactions
4 Replies
479 Views
Itakuwa Niko kaburini ambako hakuna fahamu za kuelewa chochote kinachoendelea duniani, na ndio itakuwa mwisho wangu wa kushindwa kuelewa mwelekeo wa kimapinduzi makubwa ya kiuchumi ambayo hayati...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Mnyonge mtamnyonga lakini haki yake hupewa. Rais Magufuli kama angeaamua kucheka na nyani, kama angeaamua kutolipa Uhuru Jeshi la Polisi kwenye kudeal na waalifu, basi Tanzania ingeogopwa...
4 Reactions
5 Replies
870 Views
Salaam, Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa? Jana nimeona Mh...
11 Reactions
226 Replies
22K Views
Mh IGP wetu Hili jambo la jeshi la polisi kuthubutu kutoa taarifa za watoto wa darasa la sita mpaka form four na kuwaita Panya Road eti wameshindwa kuwadhiti ni jambo la kujiuliza uwezo wa jeshi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali imethibitisha kutopokea taarifa rasmi ya utafiti unaoonesha wafugaji wa kuku wanatumia dawa za antibayotiki na hivyo kiasi kikubwa cha dawa hizo kuonekana kwenye maini, kisha kuwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni siku chache tu zimepita tangu itokee ajali ambayo haikuwa na madhara makubwa kati ya basi la mwendokasi na defender ya Polisi. Picha za tukio hilo zilisambaa mitandaoni na ilivyoonesha wazi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022 "Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
SHIRIKIANENI NA TIRA KUKINGA WANANCHI DHIDI YA MAJANGA. Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga amewataka Makatibu wakuu nchini kuhakikisha wananchi wanakingwa na huduma za bima...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani. Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani...
4 Reactions
3 Replies
547 Views
Tuna mradi mkubwa kutoka Uganda hadi Tanga jambo la kushangaza bunge la Ulaya halitaki kabisa mradi huo utekelezwe kwa minajili ya uharibifu wa mazingira cha kujiuliza yale mabomba ya gesi ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Tanzania tumejiandaaje kisaikolojia na utawala wa Ruto?huyu hatabiriki Tumejiandaaje na huyu mtu, ni mtu mwenye misimamo mikali ya Kenya kwanza mengine baadae. Tukikaa legelege na dhaifu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
South Africa ina moja ya Jeshi la Polisi lenye vitendea kazi bora kabisa kwa Bara la Afrika lakini angalia uhalifu. Hawa Panya Road tunajidanganya wataisha kwa kuongeza nguvu na kumwaga polisi wa...
1 Reactions
4 Replies
997 Views
Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini! Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh...
8 Reactions
284 Replies
21K Views
Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani. kwa upande mwingine, wadau...
1 Reactions
2 Replies
828 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…