IGP Wambura katika kitu ambacho ni aibu kubwa kwa uongozi wako ni utawala wa Panya Road

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Mh IGP wetu Hili jambo la jeshi la polisi kuthubutu kutoa taarifa za watoto wa darasa la sita mpaka form four na kuwaita Panya Road eti wameshindwa kuwadhiti ni jambo la kujiuliza uwezo wa jeshi la polisi watoto WADOGO WANAFANYA Jiji la Dsm watu walale saa kumi, hapana hapana uwezo wa askari unahojiwa na watoto Wadogo je likitokea kubwa zaidi kweli wataweza?

Kumbe hata VYAMA vya siasa ni woga wao tu hii polisi ni dhaifu au kuna sababu watu wengine WANASEMA watoto wengi wao ni WA Mapolisi au wanakula nao au ni zaidi Mimi naona JUMMANNE MULIRO JIJI LIMEMZOEA NA ZILE SIFA ALIZOPEWA NA MAMA zimemlevya mwondoe aje mtu mpya kabisaa HATAKUWA na MAZOEA na Hawa polisi.
 
Jeshi let la polisi limejaa siasa,

Sio ajabu vijana wa panyaroad Ni watoto watukutu wa wakubwa,wanaogopa kuwachukulia hatua.
 
Tatizo la panya road halijaanza kipindi cha IGP wambura. Lilikuwapo pia ata awamu iliyopita na kupita.

Polisi hawawezi kutrack uhalifu moja wanakosa intelenjisia ya kutosha. Polisi bila kupigiwa simu au kutonywa na watu hawawezi kamata tukio la uhalifu.

Rushwa rushwa
 
Sio kweli mbona mambo mengine wanajua kabla hayajatokea?
Polisi wajitathimini please
 
wakati wa magufuri ujambazi vipanya road walifutika kiasi cha juu, polisi wanajua vizuri hawa waovu, baadhi ya polisi wanakula nao hao waarifu. hili magufuri aliwadhibiti polisi na wakafanyakazi yao
 
Ila nasi raia wa DSM tumekuwa nyoronyoro mno!

Hivi inawezekanaje hawa panya road wanavamia mitaa kama hiuo halafu wanakaa masaa hadi 2 bila kupata hata adhabu kdg toka kwa wakazi wa huko? Ina wanaume na vijana wa huko wamekufa wote?

Acheni umama mnatia aibu sana bhana, tena tunaambiwa nyie ndio mnaingia uvunguni!
 
Panya Road hawana madhara kwa wanasiasa watawala, ndio maana Polisi hawajisumbui nao.
Umeongea ukweli.

Hao Polisi, intelejinsia wanayoijua wao, wasikiapo tu kuna kikao kinaandaliwa na Chadema, watavamia within a short period!😁

Lakini kwa panya road, hizo setelaiti zao za kunusa matukio hazinusi kabisa!
 
Ila nasi raia wa DSM tumekuwa nyoronyoro mno!

Hivi inawezekanaje hawa panya road wanavamia mitaa kama hiuo halafu wanakaa masaa hadi 2 bila kupata hata adhabu kdg toka kwa wakazi wa huko? Ina wanaume na vijana wa huko wamekufa wote?

Acheni umama mnatia aibu sana bhana, tena tunaambiwa nyie ndio mnaingia uvunguni!
Kama ni kwa Vitasa sawa lakini kumkabili mtu amebeba panga na ameshavuta bange hiyo inakuwa ngumu !!
 
Mh IGP wetu Hili jambo la jeshi la polisi kuthubutu kutoa taarifa za watoto wa darasa la sita mpaka form four na kuwaita Panya Road eti wameshindwa kuwadhiti ni jambo la kujiuliza uwezo wa jeshi la polisi watoto WADOGO WANAFANYA Jiji la Dsm watu walale saa kumi, hapana hapana uwezo wa askari unahojiwa na watoto Wadogo je likitokea kubwa zaidi kweli wataweza?

Kumbe hata VYAMA vya siasa ni woga wao tu hii polisi ni dhaifu au kuna sababu watu wengine WANASEMA watoto wengi wao ni WA Mapolisi au wanakula nao au ni zaidi Mimi naona JUMMANNE MULIRO JIJI LIMEMZOEA NA ZILE SIFA ALIZOPEWA NA MAMA zimemlevya mwondoe aje mtu mpya kabisaa HATAKUWA na MAZOEA na Hawa polisi.
Asante Kwa kuliona Hilo.

AJIUZULU mapemmmmaaàaa!!!!

Maisha yaliyopotea ya raia Yana thamani kuliko KITI alichokalia.

Ameeeeen.
 
Back
Top Bottom