CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,179
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo kila nikutana na jambo ambalo kwangu naliona haliendi sawa, napatwa a burning desire to ask questions,, hivyo wakati nikiendelea sana kumuomba Mungu anifundishe kunyamaza, siwezi kunyamaza ghafla, hivyo naendelea kuuliza maswali mdogo mdogo na siku hizi siulizi maswali magumu kwa viongozi, nauliza tuu maswali rahisi rahisi humu jf tuu na sio tena kwa viongozi!. Hapa ninauliza swali, kitendo cha CHADEMA, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or selfishness?

Tuanze na somo la kujifunza kuhusu vyama vya upinzani Tanzania Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

Kisha tujifunze jee kazi ya Upinzani ni nini?. Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.

Hivyo kunapotokea mgongano wa kimaslahi kati ya maslahi ya chama na maslahi ya taifa, chama makini, kitaachana na kuweka mbele maslahi ya chama, na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, hapa nawaomba Chadema kwa kuwashauri tangulizeni mbele maslahi ya Taifa, p'se tuteulieni jembe Upendo Furaha Peneza, akatuwakilishe EALA, huyu binti, atatusaidia sana!.

Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.

EALA iliyopita CHADEMA ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na CHADEMA kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouita uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua. Ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Sasa kumejitokea fursa nyingine ya CHADEMA kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni CHADEMA pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.

Kwa vile CHADEMA bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na CHADEMA itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.

Kufuatia ndugu zangu wa CHADEMA, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri CHADEMA waache selfishness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.

Ukiondoa hao mashujaa 19 wa CHADEMA waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.

Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa
Ref: Mnaweza kumsoma Upendo Furaha Peneza humu
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.

Paskali
 
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo hapa ninauliza swali, kitendo cha Chadema, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or Selfishness?.

Nawashauri Tangulizeni Mbele Maslahi ya Taifa, P'se Tuteulieni Jembe Upendo Furaha Peneza, Atatusaidia!

Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.

EALA iliyopita Chadema ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na Chadema kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouta uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua, ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Sasa kumejitokea fursa nyingine ya Chadema kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni Chadema pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.

Kwa vile Chadema bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na Chedema itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.

Kufuatia ndugu zangu wa Chadema, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri Chadema waache selfhness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.

Ukiondoa hao mashujaa 19 wa Chadema waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.

Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina? na hapa Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo? na hapa Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.

Paskali
Unavyoona wabunge wa CCM wanaweza kumpigia kura mtu wa Chadema kweli?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa ni upumbavu kwa CDM kushiriki kwenye uchaguzi ambao mfumo wake siyo credible, na katika mazingira ambayo hakuna misingi thabiti ya kuudhibiti mfumo wenyewe dhidi ya mazingira ovu.

Kwa jinsi ambavyo wewe mwenyewe binafsi kana mgombea ulivyoainisha uwezekano wa kushaguliwa ni mdogo, unaashiria ni kwa jinsi gani huo mfumo ni rotten.

Kuna baadhi ya insiders wameainisha jinsi milingula inavyotembea, na kwamba atakayefika dau kubwa ndiye mshindi, sasa katika mazingira hayo CDM akafanyeje? Na wao wakashindane kwa dau?

* Katika mazingira yote haya, muhanga mkubwa ni mwananchi ambaye sauti yake inapuuzwa katika sanduku la kura.

1662835798061.png
 
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo hapa ninauliza swali, kitendo cha Chadema, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or Selfishness?.

Nawashauri Tangulizeni Mbele Maslahi ya Taifa, P'se Tuteulieni Jembe Upendo Furaha Peneza, Atatusaidia!

Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.

EALA iliyopita Chadema ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na Chadema kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouta uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua, ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Sasa kumejitokea fursa nyingine ya Chadema kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni Chadema pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.

Kwa vile Chadema bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na Chedema itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.

Kufuatia ndugu zangu wa Chadema, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri Chadema waache selfhness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.

Ukiondoa hao mashujaa 19 wa Chadema waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.

Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina? na hapa Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo? na hapa Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.

Paskali

Hudhani wewe na sisi tuunganishe nguvu kupigania katiba mpya? Ili itupe IEBC ya Chebukati na Mahakama ya Koome?

Ili hata wewe Pascal Mayalla utupe karata yako kwa merits ulizo nazo siyo kwa hisani ya mtu?

Kwani mkuu haya ya hisani hayajakutosha tu tokea kwa wajumbe wa Kawe?
 
ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Hawa wazalendo walitokea chama kipi mr pascal. Tuanzie hapa
 
  • Je ile mbinu matata iliyotumiwa kuwapata COVID 19 imefubaa?
  • Ningeshangaa sana kama CHADEMA wangeshiriki huu mchakato.
  • Kuna 'chama' cha mtu fulani wa Kg sikisikiagi tangu Vice atokee huo mkoa; na chenyewe ukianzishie uzi jamaa.
  • Nje ya mada hii: Upinzani si uliyuwawa na kuzikwa kuelekea 2020 na yule jemedari wajameni.
 
Wanabodi,
Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo hapa ninauliza swali, kitendo cha Chadema, kususia kuteua mbunge wa EALA ni strength or Selfishness?.

Nawashauri Tangulizeni Mbele Maslahi ya Taifa, P'se Tuteulieni Jembe Upendo Furaha Peneza, Atatusaidia!

Nilipania sana kwenda EALA, ila ikatokea bahati nzuri kwenye chama changu CCM, tuna majembe ya kutosha hivyo mimi kuzidiwa sifa na majembe kazi as a result sikufanikiwa kupata uteuzi wa chama changu.

EALA iliyopita Chadema ilikuwa na wabunge wawili, lakini kutokana na Chadema kudai haiyatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020 wanaouta uchafuzi, hivyo walipopatiwa nafasi 19 za wabunge wa viti maalum, wakagoma kuteua, ila kukatokea wazalendo waliotanguliza mbele maslahi ya taifa, wakafanya maarifa nje ya utaratibu rasmi wa chama, wakapeleka majina NEC, NEC ikawapa uteuzi na kumkabidhi Spika, wakaapishwa na kuwa wabunge halali.

Sasa kumejitokea fursa nyingine ya Chadema kupeleka mtu EALA, kati ya vyama vyote vitatu vya upinzani vilivyo na wabunge ndani ya Bunge la JMT, ni Chadema pekee ndio yenye fursa ya kuteua mgombea atakayechaguliwa straight forward kama Mbunge wa Upinzani. Chadema isipoteua then fursa hiyo inakwenda ACT na CUF. Vyama hivyo tayari vimeteua wanaume wakati kanuni inataka mwanaume na mwanamke.

Kwa vile Chadema bado wana mgogoro na kina Mdee, hivyo wamesusa tena. Mwisho wa siku huu mgogoro wao na kina Mdee, utamalizika, na Chedema itawateua wabunge wake rasmi, muda huo utakapo wadia, fursa ya EALA itakuwa imeisha pita, and there is no going back.

Kufuatia ndugu zangu wa Chadema, kuunga mkono my bid kwenye EALA na wengine hadi kunichangia, kwa muktadha huu, nawashauri Chadema waache selfhness yao ya kususia mambo yenye maslahi mapana zaidi kitaifa kuliko maslahi ya chama.

Ukiondoa hao mashujaa 19 wa Chadema waliopo bungeni sasa, bado kuna shujaa mmoja ambaye ni malkia Mzinga Mbandu wa Chadema, Upendo, Furaha Peneza, ataweza kutusaidia sana kwenye EALA.

Kwa msiomjua Peneza ni huyu hapa Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina? na hapa Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo? na hapa Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Mnaonaje hili ndugu zangu wa Chadema?.

Paskali

Wewe ni mtu wa hovyo kabisa
 
Pole sana Ndugu Paskali.
Hoja yako ni kichekesho nawe wajua fika. Akina Halima ni wasaliti na KAMWE sio mashujaa.
 
CDM hawatambui ule uchaguzi wa kihayawani, hivyo ni mwiko kushiriki uhuni wowote ule fullstop.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom