- Awataka wawe mfano wa kuigwa katika Jamii kwa kuwa wazalendo Na waadilifu.
- Wanaochaguliwa kujiunga JKT wajiunge pasipo visingizio.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka...
IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata...
Aisee kumbe private jet letu bado lizima aisee leo bi mkubwa katua nalo kwa malkia yani bila kokolo.
Aisee hili G5 tuliambiwa tule majani litanunuliwa tupende tusipende. Msoga alibolu nalo sana...
Nawasalimu kwa jina la JTM,
Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa...
Tangu mradi wa gesi ukamilike enzi za JK nasikia tu kuwa tunapata kiduchu gesi nyingi inaenda nje ya nchi
Je, hiyo inayoenda nje ya nchi ni ya kwetu au tayari ni ya wale mabwana weupe?
Na kama...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, akiambatana na viongozi mbalimbali leo Jumamosi tarehe 17 Septemba alihudhuria maziko ya Mhashamu Baba Askofu Mkuu...
Salamu zimfikie ndugu Samia
Huku mtaani ndugu rais kuna malalamiko, wananchi wanasema hawakusomi, hawakuelewi, na nitakueleza nilichosikia huku mtaani!
1. Suala la tozo za miamala
Wananchi...
INBAR welcomes Mr. Ali Mchumo as its fifth Director General
Video courtesy of MAELEZO
March 2019 – The International Bamboo and Rattan Organisation, INBAR, is delighted to confirm the...
Ninayo furaha kuwafahamisha watu wote Duniani kwamba , leo 17/09/2022 Kamati Kuu ya CHADEMA inakutana Mkoani Dar es salaam katika kikao cha Kikatiba .
Kikao hicho Kizito kinaongozwa na Yule yule...
Mkataba wa kimataifa wa Vienna wa mwaka 1961 unakataza Wanadiplomasia kujihusisha na mambo ya ndani ya nchi au taasisi wanazowakilisha. Sheria ya Tanzania ya mwaka 1986 ina akisi vienna kama...
Ni wengi sana hasa viongozi waandamizi walioko madarakani na wastaafu hawakubaliani na ccm awamu ya nne.
Na ndio imekuja tena kwa mlango wa nyuma kuendesha serikali hii ya awamu ya SITA.
Ni...
Tozo pekee sio suluhisho la uchumi wetu .
Rudisha vitambulisho KWA wajasiria mali,vitambulisho viwe na gredi kutokana na mtaji wa muhusika,yaani ;-
Gredi A
Wajasiria mali wenye mitaji ya...
Nukuu:
“Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi...
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Mifugo na Uvuvi na kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mifugo na...
Nimeona katika kadhia hii ya katiba mpya watu wengi wanamfananisha mwenyekiti wa TCD Zitto Kabwe na mwenyekiti wa TLP Dr Mrema tena wanadai Zitto Kabwe ni Lyatonga aliyechangamka.
Kiukweli Zitto...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Ali Abdulgulam Hussein amesema awamu ya nane imedhamiria kuona sekta ya Elimu inaendelea kupiga hatua kwa kuendelea kupunguza changamoto...