Pics
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 240
- 181
WABUNGE wa wilaya Tunduru ,Jimbo la kusini na Jimbo la kaskazini walitupiana makonde kwenye kamati ya siasa. ilibidi mkuu wa wilaya Mh Mutatiro kuwatenganisha na katibu kutoa nje. Tukio Ni matokeo ya kugombea maksi za juu kwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wilaya.
Mbunge wa kaskazini Alitaka Alama B kwa Mwenyekiti anayemaliza.baadae mbunge kusini alitaka pia mgombea anayemuunga mkono apewe pia alama B, jambo lilimuudhi mbunge wa kaskazini na kumshambulia matusi mbunge wa kusini na kumwambia anamteteaje mtu anayemla m*e wako au jogoo hapandi mtungi(nimepunguza ukali wa maneno)mbunge alifuata na kumkunja.kwa kumdhalisha madam wake.
Mbunge wa kusini hakumtaka mgombe anayeungwa mkono na mbunge wa kusini kwani anaamini Ni mtu wa mbunge wa zamani(the engineer)anaamini bado anayenyemlea Jimbo la kaskazini.wabunge hawakuwepo bungeni kujipanga kwa2025.
Wametumia nguvu nyingi kufunika lisiende juu.