Rais Samia, Sifa hizi za hovyo wanakuingiza Mtegoni

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,043
Reaction score
74,754
Kumetokea tabia ambayo imeota mizizi ya kula jambo kukupa sifa wewe nawe kuzichekea kwa kudhani zinakuinua lakini hiyo ni mbinu chafu ambayo siku wapinzani wakipata nafasi yao ya kikatiba na kufanya mikutano basi itakuwa kama wamefunuliwa kutoka katika giza nene.

Hivi kati ya marekebisho ya ya sheria za matozo ni yako au ya Bunge? Kwa nini wakubebeshe sifa halafu wakuondoe katika lawama za kuwepo kwake? Chochote chenye sifa kina upande mwingine wa lawama, jee mbona hawamtaji wa kulaumiwa? Wanataka uwe wewe wakati ukifika kama ilivyokuwa baada ya JPM kuondoka kila kibaya akapewa yeye kwa sababu alifurahia sifa.

Mambo yote yanayokwenda kinyume na katiba na sheria kwa sasa wanakushauri wenzako, lakini unaona jinsi wingu la lawama lijapo unabebeshwa wewe?

Madam Samia, please be president of Tanzania not of CCM. Kwa sasa ccm imebaki viongozi tuu, na sio kila avaaye shati la kijani ni CCM wengine ndio mavazi pekee waliyonayo.

Wanaosimama majukwaani/bungeni kukusifia na kukuvesha vilemba vya ukoka ndio hao hao watakukebehi na kukutupia lawama zote. Ndivyo mlivyo CCM.
FB_IMG_1663751465580.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kumetokea tabia ambayo imeota mizizi ya kula jambo kukupa sifa wewe nawe kuzichekea kwa kudhani zinakuinua lakini hiyo ni mbinu chafu ambayo siku wapinzani wakipata nafasi yao ya kikatiba na kufanya mikutano basi itakuwa kama wamefunuliwa kutoka katika giza nene.

Hivi kati ya marekebisho ya ya sheria za matozo ni yako au ya Bunge? Kwa nini wakubebeshe sifa halafu wakuondoe katika lawama za kuwepo kwake? Chochote chenye sifa kina upande mwingine wa lawama, jee mbona hawamtaji wa kulaumiwa? Wanataka uwe wewe wakati ukifika kama ilivyokuwa baada ya JPM kuondoka kila kibaya akapewa yeye kwa sababu alifurahia sifa.

Mambo yote yanayokwenda kinyume na katiba na sheria kwa sasa wanakushauri wenzako, lakini unaona jinsi wingu la lawama lijapo unabebeshwa wewe?

Madam Samia, please be president of Tanzania not of CCM. Kwa sasa ccm imebaki viongozi tuu, na sio kila avaaye shati la kijani ni CCM wengine ndio mavazi pekee waliyonayo.

Wanaosimama majukwaani/bungeni kukusifia na kukuvesha vilemba vya ukoka ndio hao hao watakukebehi na kukutupia lawama zote. Ndivyo mlivyo CCM.View attachment 2363477

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hii tabia yakusifia imekithiri sana hasa tangu 2015
Mtu akiona kamera na kipaza lazima amsifu rais
 
Watamuita mama, watatuambia watanzania tumuombee, nae anawaita wanangu; kumbe huku upande wa pili wanakusanya tozo kila dakika, ambazo hatuambiwi ni kiasi gani, wala zinakwenda wapi kufanyia nini.

Tuna bahati mbaya sana.
 
Chini ya 30k [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukifuta futa mazima
 
Back
Top Bottom