Dunia ina uonezi sana. Alipofariki Magufuli hatukumuona Rais mzungu kwenye mazishi ya kitaifa!

Msingi wa umasikini wa Afrika umeanzia mbali sana.
Kuung'oa siyo kazi mdogo. Siasa za viongozi kutafuta umaarufu binafsi na kujipendekeza kwa wazungu haziwezi kupunguza.
Hadi hapo fikra za wananchi walio wengi zitakapokuwa huru na chanya, tutapata maendeleo endelevu.
 
Back
Top Bottom