Kiwango cha upikaji Data cha hii nchi sio cha hii sayari

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,499
Hii nchi Data zinapikwa vibaya mno na sijui.kama kuna Taifa Data zinapikwa kama Tanzania na mbaya Kiongozi haoni aibu kusimama na kusoma Data ambazo yeye mwenyewe anajua fika ni za kupikwa.

Waziri mkuu anadai nchi ina jitosheleza kwa Chakula kwa asilimia 115 na ina ziada nyingine zaidi ya Tani Million 2.

Maana yake tuna chakula cha kutosha plus ziada, sasa hio ziada msidhani ni iko kwenye maghala yao hapana yaani ni ile hata ulio

Je ni kweli?

Kuna maeneo walisha anza kulia njaaa kwa sasa, hawana chakula,au kiko ila bei iko juu sana,
 

Attachments

  • Screenshot_20220923_113318_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_20220923_113318_com.facebook.katana.jpg
    49.3 KB · Views: 2
Data inapingwa kwa data
Kabla hatujaponga ya waziri mkuu data yetu ipo wapi ili tuweze kuipinga hii??
 
Hata muhogo ni chakula. Je wewe unajua nchi ina tani ngapi za mihogo zilizoko mashambani?
Kama nchi haina chakula, tuma picha za ndugu zako waliokufa kwa famine...
 
Ushahidi wa ni rahisi sana.

Bei zinatoa majibu yote.

Demand and supply.

Mh. Rais yupo anachapa kazi.
 
Back
Top Bottom