NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,533
- 17,456
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini wananchi walio wengi bado hawajaingiziwa na NGUZO za umeme zipo mbali sana!
Shirikiana na TANESCO halmashauri ya UYUI kwenye hili,usisingizie eti Bajeti ya serikali haijafika Hadi mwaka wa fedha ujao wakati kuna fedha za mfuko wa Jimbo!!
Kama ukizitumia vema fedha hizo zitakuvusha na mimi nakazia lazima ilani ya chama itekelezwe kwa wananchi ipasavyo!
ACHA , ACHA, ACHA kuzitumia kununua Mapikipiki na kukopesha vijana KWA faida Binafsi wakati hao vijana wangepata umeme wangejiajiri Sana kupitia huo umeme! UMEME ni fursa kubwa kuliko vipikipiki Hivyo!!
Jitahidi kuonyesha wanaigalula walichagua jembe na sio popoma!
Kata kama za mpyagula,Loya,Lutende na nyinginezo wananchi hawana umeme NGUZO hamna hata taasisi za serikali hazina umeme wakati zinahudumia wapiga kura wako!! taasisi kama mashule,kituo cha polisi Loya na nyinginezo BADO hazina umeme!
Shirikiana na madiwani wa kata hizo wananchi wafanye wiring Ili waingiziwe umeme!Pambania na TANESCO UYUI Hadi kieleweke NGUZO zifike!!
Fanya hivi utanishukuru Baadae kwasababu jimbo la Igalula lina historia ya kuwatema WABUNGE wake wanapowania awamu ya pili!muulize Mfutakamba na Musa ntimizi watakuambia!!
Tekeleza ilani ya chama kwa fedha za mfuko wa jimbo ili chama kije kukupigania!
Wazee wamenifikishia nimekuarifu!fanyia KAZI!!
Mungu ibariki TANZANIA, libariki jimbo la Igalula!